Mume wangu ananinyima unyumba



Monika2 shukuru mumeo anakupenda na kukuheshimu kihivyo....ninavyohisi uenda akawa na Vipimo Vimejaa Usipime (VVU) hivyo hataki kukumegea lakini anashindwa kukuambia. Kuna mshikaji wetu wa kitaa alimbadilikia mkewe hivi hivi, then mkewe baada ya kugombana kutaka haki yake ya unyumba jamaa ikabidi amwambie ukweli, akalia sana huku akimshukuru mumewe na kumwambia baba "X" nisamehe na I Love you for kunijali na kuniambia the truth.
 
Mtumie SMS mwambie "kwanini kioze wakati jirani ana njaa"? Hapo lazima ashtuke
 
Bhikola jiongeze mkuu,kinachokufanya mimi na monica tuwe mtu mmoja ninini?smtimes kama hunablakufanya sio lazima ukoment,sasa ntajishauri mwenyewe?mmezoea maigizo mnafikiri kila mtu bongo movie
 
hongera kwa hekima na uvumilivu ulionao,naonekana ana mwanamke nje ndo mana hana hamu na wewe ila vumilia ni mapito tu then watoto watapata tabu ukifanya maamuz kwa hasira,jaribu kuongea nae taratibu atabadilika tu
 

Tupe Aya na hadithi kusupport hiyo fatwa yako..uislam ni sheria
 
safi hatutaki uhuni hapa toa aya tuelewe
 
POLE SANA MAMA.NAONA UMESHINDWA KUVUMILIA.JITAHIDI UNILETEEE !
 
acha kupenda ngono aisee miezi mitatu wewe unaiona mingi. watu wanakaa hadi miaka kadhaa wewe vimiezi tu waja kulialia hapa, mwache mwenzio awaze maisha wewe ongeza maombi ili afanikiwe mapema angalau ndani ya miaka kadhaa mbele muanze fulahia tendo upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…