Mume wangu anacheat nifanyeje?

Mwambie aongeze mke tu, kutulia na mke mmoja haiwezekani ndo maana wengi wanawasaliti wake zao. Sisi huku upande wa Gaza tuliishaliona hilo siku nyingi ndo maana tunaoa mpaka wanne..!
 
This is a very realistic approach for anyone who wants to lead a stress free life.
 
huna adabu wew binti!
ukiona mtu anafoka , na si kawaida yake tafuta sababu usihukumu. yeye kamwambia v=hivyo baada ya kusoma comment yake. so huyo alitakiwa kutoa ushauri mzuri maana aliyeleta Thread hapa ana shida tena ya Ndoa yake. yeye anamshauri akatoe Tigo is it faer? Vaa viatu vya kaunga alijisikiaje baada ya kusoma comment hiyo.
 
adabu anayo............kama mama ake na baba ake wako pamoja ina maana mama ake anatumia huo mtandao hadi sasa
 
Kwakweli hapo ktk red ckubaliani na ww, y ucheat? mm never on earth my dia. Kama akicheat nikajua sheria inaniruhusu kuachana na mtu mzinifu, kama ilivyoandikwa mwanaume mzinifu ni kwa mwanamke mzinifu. Wanawake amkeni jamani mtang'ang'ania wanaume mpaka lini kisa watoto, au majumba, pesa na magari..Akaa! Hayo ni mapambo ya dunia tu..kisa cha kupata gonjwa bure! hapana. Kufa kupo tu mamiii, kila nafsi itaonja mauti.
 
Mkuu kimya uko wapi siku hz?
 
This is a very realistic approach for anyone who wants to lead a stress free life.
Ni kweli unavyoshauriwa na mimi yalinikuta. Cha msingi focus na uwe strong si kitu rahisi ila jitahidi hasa ukiambatanisha na sala. Asikudanganye mtu wala mganga hilo goti utakalolisugua na hayo machozi utakayommwagia Mungu, Mungu anajibu.
 
Amekuchoka huyo anashidwa kukuambia, actions speak more than words
 
mh bado mdogo sana i can see. wacha niingie chanber nichart na watu wazima wenzangu. I can see bado u still believe in ONE MAN FOR INE WOMAN THEORY. Ukikua utanielewa. all the best though
 
Haya mambo ukisoma kwa mwenzio inakuwa kama movie, au washangilia mpira...si angepiga chenga pale....kwa nini akufunga etc..

Yakikukuta ndio unajua uhalisia wake...sasa kweli mtu uzidishe mapenzi kwa jitu linalokuchiti...
Si uhalisia...kinachozidi kwenye situation kama hiyo sana sana ni chuki...chuki kupindukia..

Mh, azidishe mapenzi kwa anayemcheat? au ni kwa kujifanya? coz tayari roho unauma, hayo mapenzi yanazidishwaje knowing mtu anakudanganya na hakuheshimu? si ndo atakuona mjinga kabisa?
 
Pole sana bt kama unaweza kaa nae myajenge sku hz hz maradh meng
 
mh bado mdogo sana i can see. wacha niingie chanber nichart na watu wazima wenzangu. I can see bado u still believe in ONE MAN FOR INE WOMAN THEORY. Ukikua utanielewa. all the best though

Poa mamii, tunatofautiana bse mm cbilive suala la uzinifu ambalo wengi wanalishadadia na kuona ni jambo zuri. Nakushauri kusoma maandiko na kuyafuata, hakika utauona ufalme wa mbinguni.
 
Pia utakuta mwanamke anamfanyia mume kila kitu lakin malipo ndio hayoi! inaumiza kwakweli.
 
mh bado mdogo sana i can see. wacha niingie chanber nichart na watu wazima wenzangu. I can see bado u still believe in ONE MAN FOR INE WOMAN THEORY. Ukikua utanielewa. all the best though

Labda nikuulize umeolewa? ushawahi kucheatiwa?
 
.. Men blame women.. Women blame men..

Then who wins..!??
 
Labda nikuulize umeolewa? ushawahi kucheatiwa?

nimeolewa miaka kadhaa, nimechitiwa kupita maelezo na mi mwenyewe hivi sasa ni cheater wa ukwee

habari ndo hiyo. ndo maana sisumbuki na kucheatiwa, its just part of the love game.
 
Poa mamii, tunatofautiana bse mm cbilive suala la uzinifu ambalo wengi wanalishadadia na kuona ni jambo zuri. Nakushauri kusoma maandiko na kuyafuata, hakika utauona ufalme wa mbinguni.

mh my dear, hata nisipozini, je unadhani nitauona ufalme wa mbinguni kama nitaenedelea kuvunja amri nyingine za God hata kama ya sita nitishika?

kwa mumgu dhambi ni dhambi, aliyezini na aliyetamani wote lao moja
 
Pia utakuta mwanamke anamfanyia mume kila kitu lakin malipo ndio hayoi! inaumiza kwakweli.

acha hizo wewe, nani kakwambia binadamu unaweza mfanyia yote? acha uongo wako.

lo eti mume unamfanyia kila kitu, we thubutuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…