Mume wangu anacheat nifanyeje?

Mume wangu anacheat nifanyeje?

hammidah

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
24
Reaction score
5
Naomba msaada wenu mume wangu anacheat nifanyeje?

Mbaya zaidi na watu ambao wengine kawatambulisha kwangu,na ilifikia hatua nilipokwenda jifungua alileta mpaka ndani. Nikiuliza tatizo nini hasemi, SMS kila siku goodnight bby love u ukiuliza sina mana ya mapenzi nisaidieni wana jf nianye nini ?nami nianze cheat kama yeye au nifanye nini?
 
Watu hawalipizani ubaya kwa hakika anachofanya sivyo ww mvumilie na muoneshe mapenzi ya kweli na mpende kuliko mwanzo nakuahidi ataacha huo upuuzi wake
 
Pole sana na inaonekana imekuuma... Ushauri, funguka kwake na kwa wakware wake.. Na Kama unao ushahidi wa kutosha anzisha zali kwa wazazi wake... Kumbuka na uwe na Moyo wa kuwa mlango wakuondoka kwako unafunguka nawe usiogope kulikabili Giza la maisha huko mbele, otherwise, anaweza kuua taaratibu kisaikolojia au kimwili..
 
pole mamii, nakushauri kusanya vithibitisho vyote kuwa anacheat then ongea nae ukimpa hatua utakazochukuaa.
1) kama anakuhitaji kama mke aache.
2) mwambie utamshtaki kwa mtu ambe anamuheshimu mfano kaka ake, ustadhi au askofu aliyewafungisha ndoa.n.k.
3) ila ckushauri kuondoka huyo ni mume wako komaa nae hao wa nje wezi tu.
4) pia jichunguze kujua chanzo cha kuchet, ongeza mahanjumati, mtt jipambe, yaan zidisha mambo kunako 6*6.

Nikwambie cri...mm wangu alicheat ckuhizi nimejipanga vibaya..yaan nikimkamata kwa kitanda mpaka analia wakati hakuwahi b4.
 
kabla ya mwaka 1950 wanawake wakiwa ktk hali hiyo walikuwa wanawaambia waume zao waache uzinzi si mzuri lakini wanaume hawakukoma,1950-2000 wanawake wakawa wanapiga magoti mbele za Mungu kuomba waume zao wabadilike lakini wanaume waliendeleza uzinzi,2000 na kuendelea wanawake wakiwa ktk mkasa kama wa kwako WAMEAMUA NA WAO KUTEMBEZA UCHI!nadhani kuanzia mwaka 2050 hakutakuwa na ndoa na mtakuwa huru milele...wote wake kwa waume.jichagulie uamuzi wa kuamua nobody will blame you,una uhuru wa kuamua kuifuata njia ya shetani aliyochagua mumeo
 
pole mamii, nakushauri kusanya vithibitisho vyote kuwa anacheat then ongea nae ukimpa hatua utakazochukuaa.
1) kama anakuhitaji kama mke aache.
2) mwambie utamshtaki kwa mtu ambe anamuheshimu mfano kaka ake, ustadhi au askofu aliyewafungisha ndoa.n.k.
3) ila ckushauri kuondoka huyo ni mume wako komaa nae hao wa nje wezi tu.
4) pia jichunguze kujua chanzo cha kuchet, ongeza mahanjumati, mtt jipambe, yaan zidisha mambo kunako 6*6.

Nikwambie cri...mm wangu alicheat ckuhizi nimejipanga vibaya..yaan nikimkamata kwa kitanda mpaka analia wakati hakuwahi b4.

Ulijipangaje bibie?kwa faida ye2 sote wenye ndoa.
 
Huyo hana hata chembe ya heshima juu yako, yazungumzeni ikiwezekana yafikisheni kwa wazee. Hakubadilika bora kila mtu ashike zake, atakuletea maradhi huyo.....mwache afe peke yake.
 
Mmh ushauri mwingine bwana. Huenda mmeo ana pepo ongea nae tu kwa upendo. Huenda ni katabia alikuwa nako tangu zamani au kuna kitu unam-bore au uliwahi kum-bore kabla.
 
Jamani watu wanakuja hapa wanashida sio muanze kuwaponda na kuwapa mambo ya kienyeji,kama huwezi kumsaidia kaa kimya tu utaonekana mstarabu....kumkatisha tamaa ni ujinga mkubwa...
 
Huyo hana hata chembe ya heshima juu yako, yazungumzeni ikiwezekana yafikisheni kwa wazee. Hakubadilika bora kila mtu ashike zake, atakuletea maradhi huyo.....mwache afe peke yake.

Hakuna kiumbe hai kitakachoishi milele death is a function of time
 
Punguza mapungufu yako kwenye mapenzi mumeo atarudi! Jaribu pia ule mtandao wanaume wanaoupenda kwa sasa kwa mumeo
Aaah, kumbe kile cheo cha Revelant ulishanyang'anywa? Naona na wewe umeamua kuwa mtoto mbaya siku hizi unawafundisha watu maovu.
 
huna adabu wew binti!

My bad; l am sorry to you na niliowakwaza lkn sio aliye shauri hiyo kitu. maana kautoa as if it is a normal thing kama vile KUSALI au kuongea naye au kushirikisha wazee.
 
Back
Top Bottom