Hadithi yako inatufundisha niniHbr za wkend wakuu,
Nimekuwa na wakati mgumu kwa muda mrefu bila kufurahia ndoa yangu tangu nimeolewa.
Ni hivi mume wangu amekuwa ni mtu wa michepuko isiyo na idadi kibaya zaidi hakuna beki tatu atakakuja asiye tembea nae hata awe mbaya Kiasi gani.
Kilichonifanya nilete uzi huu humu kwa lengo la kupata ushauri ni kuwa asubuhi niliamka vyema na kwakuwa ni wkend nilimuuliza ana ratba gani akajibu hana ratiba yyte atakuwepo tu nyumbn.
Ilipofika saa nne tukapata mgeni ambaye ni Jiran, ni baba mtu mzima sana alikuja kumuonya mume wangu ache tabia ya kutembea na mkewe,
Wakati naendelea kutafakari hilo nikapokea ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwa mwanamke aliyejitambulisha kama mpenz wa mume wangu na anamuulizia kama yupo, nilimwambia akakana kbsa. Baada ya muda kidogo akapokea simu ambayo hakutaka nisikie akaenda kuongelea nje ya geti alipomaliza tu akaniaga nikamzuia asiondoke lkn akaondoka kibabe.
binfsi sioni maana ya kufuga malaya kama huyo,anakula vyangu, hela anatumia zangu anaishi kwenye nyumba yangu halafu anifanye mie kama spare tyre?
Naombeni ushauri kuna haja ya kuendelea na mtu kama hayu? nilidhani kumpa gari ndo kunamfanya aweweseke hivyo nikaamua kuliuza gari lake mwze wa tano lkn bado hakomi.
Nipeni dawa nimkomeshe.
Hapana, asubiri atafutweChaaaa, amua tafta mwingine umuoe maana uliyenaye umemoa pia
Hbr za wkend wakuu,

Mna watoto wangap?
Mkuu umetumia akili nyingi kushauri sina hakika kama unamjua monicaa!!! cha kukushauri na wewe nenda kwenye profile yake usome Maada zake ndo upate cha kushauri.Pole, nafikir unasubiria ukimw, huyo mumewe hakueshimu, hakuthamini na kunguru hafugiki ila ukichukua hx Ata kabla hajaoa alikua Malaya huyo, nikusii uwambie wazaz , wamshaur, viongoz wako wa din, ndugu, marafik, asipobadilika ndio ubebe beg lako, Lakin wanaume mjifunze na nying, Yan mke pesa zake wala, magar, afu upo kwake, house girl unapitia, folen Za kutosha jaman na Hao wanawake wanamoyo, y mtu humtaki umfanyie makusud hivyo mwambie ckutaki aanze maisha yake, ila wanawake jifunzeni mwanaume akifikia hatua hiyo huna aja yakuomba ushaur uku, unatakiwa ujiulize unaitaji kuishi bado au kufa na ukimw, fanya mamuz magumu kwa faida yako na kwa faida ya watoto wako kama mmezaa nae, pili tambua tabia ya mwanaume habadiliki Ata cku moja, Malaya kabla ya ndoa Ata bada ya ndoa ataendelea
Kwani ndio unayajua haya sasa hivi au alikua tofauti kabadilika?Sina nilichopunguza uwezo wake wenyewe ni wakuvumilia yaani anapenda kuonekana ni mjanja lkn sekude tano kamaliza na hanauwezo wa kurudi kadude kenyewe ni kibamia yaani tabu tupu
Wewe si uliolewa kwa mbwembwe juzi tuu au zilikuwa swaga? Kumbe wewe ndo uliyeoa hukuolewa! Pole sana ndo tatizo la vi Hammonize,tafuta mtu mzima akutunuku upendo.Habari za weekend wakuu,
Nimekuwa na wakati mgumu kwa muda mrefu bila kufurahia ndoa yangu tangu nimeolewa. Ni hivi mume wangu amekuwa ni mtu wa michepuko isiyo na idadi kibaya zaidi hakuna beki tatu atakakuja asiye tembea nae hata awe mbaya kiasi gani. Kilichonifanya nilete uzi huu humu kwa lengo la kupata ushauri.
Ni kuwa asubuhi niliamka vyema na kwakuwa ni weekend nilimuuliza ana ratiba gani akajibu hana ratiba yeyote atakuwepo tu nyumbani.Ilipofika saa nne tukapata mgeni ambaye ni Jirani, ni baba mtu mzima sana alikuja kumuonya mume wangu ache tabia ya kutembea na mkewe.
Wakati naendelea kutafakari hilo nikapokea ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwa mwanamke aliyejitambulisha kama mpenzi wa mume wangu na anamuulizia kama yupo, nilimwambia akakana kabisa. Baada ya muda kidogo akapokea simu ambayo hakutaka nisikie akaenda kuongelea nje ya geti alipomaliza tu akaniaga nikamzuia asiondoke lakini akaondoka kibabe.
Binfsi sioni maana ya kufuga malaya kama huyo, anakula vyangu, hela anatumia zangu anaishi kwenye nyumba yangu halafu anifanye mie kama spare tyre?
Naombeni ushauri kuna haja ya kuendelea na mtu kama hayu? Nilidhani kumpa gari ndo kunamfanya aweweseke hivyo nikaamua kuliuza gari lake mwze wa tano lakini bado hakomi.
Nipeni dawa nimkomeshe.