Story ya namna hii ilishakuja wiki lililopita ndio maana tuna mashaka nayo
Hebu na wewe hakikisha hata kwa kumpapasa kwani maana ya ushenga kweli hukuujua. ulitakiwa usimamie kila kitu na kuujua uhusiano wao hata kabla hawajaoana jinsi walivyokuwa na mahusiano na kutimiziana