Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
Habari; nilipokea simu
kutoka kwa shemeji yngu yani mke wa rafik angu ambae tangu aolewe ni
miezi miwili imepita,alinitaka niende nyumbani kwake haraka kuna jambo
muhimu linalogusa ndoa yake anataka kunieleza na nijue namna gani
tutasaidiana kuliweka sawa.
nilishtuka sana lakin nikakomaa kibishi,naam nilipofika nyumbani kwake
akupoteza mda akanipa mkasa mzima kua mumewe ana jinsia 2 ya kike na ya
kiume (duuuuuh!!!) lakin ya kiume ndo iko active kiasi kuliko ya ile ya
kike hvyo nimsaidie kwa njia yoyote ile hata kama inawezekana kufanya
operation kwa gharama zozote zile mradi tu amkomboe mumewe kwan
anampenda sna.
aliamua kuniambia mim sababu ndie nilie karibu sna na mumewe na hata
hvyo mumewe ndie aliemuelekeza afanye hvyo,licha ya urafik pia mi ndo
nilikua mshenga wake.
inasemekana tangu enzi za ujana wake hyo jamaa hakuna aliejua siri hii
zaid ya wazaz wke{r.i.p} na hakuwa kabsa akijihusisha na wanawake mpaka
alipoamua kuoa. naomben ushaur jins gan naweza msaidia rafik yngu na
mkewe dharau weken kando.
Hata mimi nina wasiwasiNina wasiwasi na hii taarifa...watu wa literature watanielewa!!
Nina wasiwasi na hii taarifa...watu wa literature watanielewa!!
Mbona hizi habari ya shemale zinashika kasi sana hapa jamvini?kuna nini au research?
Endelea kuwa na wasiwasi siku yakikukuta ndo utaamini nachokisema.
Endelea kuwa na wasiwasi siku yakikukuta ndo utaamini nachokisema.
mkuu una maana kwamba kuna siku atakuta ana hizo nani hiii mbili????!!!!
Hahaha...kwani limekua jipu hilo
Mkuu maelezo ya jamaa yalinipa mshangao kidogo.
Hakuna ukweli katika habari hii,
Usituone kama watoto wadogo hapa ndugu,
Mpaka tukaitwa GT maana yake tumevuka viwango vya media!
1) Katika mazingira ya leo Afrika, Amerika ya Kusini na Kaskazini, Ulaya Magharibi na Asia hakuna wanaopitia hatua ya upenzi, uchumba, na kisha ndoa bila kushiriki mapenzi (ngono) ama hata romance itakayowasababisha mziguse nyeti zenu hata kwamikono tu,
2)Hakuna siri duniani inayoshikwa na kutunzwa na watu watatu tu bila wanne na watano nk kumfikia!
Kuna sababu lukuki ambazo zinaitafsiri habari yako kuwa ni yauongo!
Nilitegemea jibu hili toka kwako...
Kukutwa ni kitu kingine na wewe kupaste hapa habari za watu ni jambo jingine...
Shemales wapo kwa kuwa hiyo ni abnomality wakati wa hatua za ukuaji wa kichanga...
Ila ninacho doubt ni authenticity ya taarifa yako...
Tumeshawaona wengi wa aina yake wanaocopy na kupaste hapa MMU na wanazuga kuwa ni wao...
Namna tu ya uandishi wake wanitia mashaka kidogo...
Anyway wenye kuguswa waendelee kuchangia, acha mimi niendelee kusheherekea Ubingwa wa Yanga hapa...
hayaweza yakamkuta bwana kwani hiyo jinsia ya pili ataipatia ukubwani!!Endelea kuwa na wasiwasi siku yakikukuta ndo utaamini nachokisema.