"Mume wangu ana jinsia MBILI"

"Mume wangu ana jinsia MBILI"

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,453
Habari; nilipokea simu kutoka kwa shemeji yngu yani mke wa rafik angu ambae tangu aolewe ni miezi miwili imepita,alinitaka niende nyumbani kwake haraka kuna jambo muhimu linalogusa ndoa yake anataka kunieleza na nijue namna gani tutasaidiana kuliweka sawa.

nilishtuka sana lakin nikakomaa kibishi,naam nilipofika nyumbani kwake akupoteza mda akanipa mkasa mzima kua mumewe ana jinsia 2 ya kike na ya kiume (duuuuuh!!!) lakin ya kiume ndo iko active kiasi kuliko ya ile ya kike hvyo nimsaidie kwa njia yoyote ile hata kama inawezekana kufanya operation kwa gharama zozote zile mradi tu amkomboe mumewe kwan anampenda sna.

aliamua kuniambia mim sababu ndie nilie karibu sna na mumewe na hata hvyo mumewe ndie aliemuelekeza afanye hvyo,licha ya urafik pia mi ndo nilikua mshenga wake.

inasemekana tangu enzi za ujana wake hyo jamaa hakuna aliejua siri hii zaid ya wazaz wke{r.i.p} na hakuwa kabsa akijihusisha na wanawake mpaka alipoamua kuoa. naomben ushaur jins gan naweza msaidia rafik yngu na mkewe dharau weken kando.
 
Habari; nilipokea simu
kutoka kwa shemeji yngu yani mke wa rafik angu ambae tangu aolewe ni
miezi miwili imepita,alinitaka niende nyumbani kwake haraka kuna jambo
muhimu linalogusa ndoa yake anataka kunieleza na nijue namna gani
tutasaidiana kuliweka sawa.

nilishtuka sana lakin nikakomaa kibishi,naam nilipofika nyumbani kwake
akupoteza mda akanipa mkasa mzima kua mumewe ana jinsia 2 ya kike na ya
kiume (duuuuuh!!!) lakin ya kiume ndo iko active kiasi kuliko ya ile ya
kike hvyo nimsaidie kwa njia yoyote ile hata kama inawezekana kufanya
operation kwa gharama zozote zile mradi tu amkomboe mumewe kwan
anampenda sna.

aliamua kuniambia mim sababu ndie nilie karibu sna na mumewe na hata
hvyo mumewe ndie aliemuelekeza afanye hvyo,licha ya urafik pia mi ndo
nilikua mshenga wake.

inasemekana tangu enzi za ujana wake hyo jamaa hakuna aliejua siri hii
zaid ya wazaz wke{r.i.p} na hakuwa kabsa akijihusisha na wanawake mpaka
alipoamua kuoa. naomben ushaur jins gan naweza msaidia rafik yngu na
mkewe dharau weken kando.

sa opereshen ya nn kama ya kiume inapiga mzigo,au anackia stim za kugongwa mzigo?
 
Mbona hizi habari ya shemale zinashika kasi sana hapa jamvini?kuna nini au research?
 
Endelea kuwa na wasiwasi siku yakikukuta ndo utaamini nachokisema.

Nilitegemea jibu hili toka kwako...
Kukutwa ni kitu kingine na wewe kupaste hapa habari za watu ni jambo jingine...
Shemales wapo kwa kuwa hiyo ni abnomality wakati wa hatua za ukuaji wa kichanga...
Ila ninacho doubt ni authenticity ya taarifa yako...
 
Hakuna ukweli katika habari hii,

Usituone kama watoto wadogo hapa ndugu,

Mpaka tukaitwa GT maana yake tumevuka viwango vya media!

1) Katika mazingira ya leo Afrika, Amerika ya Kusini na Kaskazini, Ulaya Magharibi na Asia hakuna wanaopitia hatua ya upenzi, uchumba, na kisha ndoa bila kushiriki mapenzi (ngono) ama hata romance itakayowasababisha mziguse nyeti zenu hata kwamikono tu,

2)Hakuna siri duniani inayoshikwa na kutunzwa na watu watatu tu bila wanne na watano nk kumfikia!

Kuna sababu lukuki ambazo zinaitafsiri habari yako kuwa ni yauongo!
 
Mkuu maelezo ya jamaa yalinipa mshangao kidogo.

Tumeshawaona wengi wa aina yake wanaocopy na kupaste hapa MMU na wanazuga kuwa ni wao...
Namna tu ya uandishi wake wanitia mashaka kidogo...
Anyway wenye kuguswa waendelee kuchangia, acha mimi niendelee kusheherekea Ubingwa wa Yanga hapa...
 
Hakuna ukweli katika habari hii,

Usituone kama watoto wadogo hapa ndugu,

Mpaka tukaitwa GT maana yake tumevuka viwango vya media!

1) Katika mazingira ya leo Afrika, Amerika ya Kusini na Kaskazini, Ulaya Magharibi na Asia hakuna wanaopitia hatua ya upenzi, uchumba, na kisha ndoa bila kushiriki mapenzi (ngono) ama hata romance itakayowasababisha mziguse nyeti zenu hata kwamikono tu,

2)Hakuna siri duniani inayoshikwa na kutunzwa na watu watatu tu bila wanne na watano nk kumfikia!

Kuna sababu lukuki ambazo zinaitafsiri habari yako kuwa ni yauongo!

....mkuu Naona uko huku tena? najua wengi mtasema ni uongo bt amini nachokuambia natamani niweke jina la mhusika bt si vizuri,

halafu kuhusu kufanya sex kabla ya ndoa hao watu wapo wengi tu usitake kile wewe ulichopitia ujanani mwako na wenzako wawe ivyo.

jambo lolote laweza kua siri kwa watu watatu kutegemeana na unyeti wa jambo lenyewe,kutokana na maelezo ya wahusika wanadai hili jambo ni la SIRI.
 
Nilitegemea jibu hili toka kwako...
Kukutwa ni kitu kingine na wewe kupaste hapa habari za watu ni jambo jingine...
Shemales wapo kwa kuwa hiyo ni abnomality wakati wa hatua za ukuaji wa kichanga...
Ila ninacho doubt ni authenticity ya taarifa yako...

....hata Mim nilitegemea jibu kama hili toka kwako anyway sikulazimishi kuamini kwa vile ushajiaminisha kua ni stor ya kutunga.
 
Tumeshawaona wengi wa aina yake wanaocopy na kupaste hapa MMU na wanazuga kuwa ni wao...
Namna tu ya uandishi wake wanitia mashaka kidogo...
Anyway wenye kuguswa waendelee kuchangia, acha mimi niendelee kusheherekea Ubingwa wa Yanga hapa...

......wewe ndo wasema kua nimecopy na kupaste...hapo kwenye kusheherekea ubingwa wa yanga tuko pamoja.
 
Fantasy..Perceptions may slowly seem like reality. The writer thinks we are all like kids with such an odd story. I beg to differ with the truth and authenticity of the story ( I stand to be corrected though).

1.Kama jinsia moja ni superior - why the hell is the bother for operation?
2. Mke wa rafiki kakupigia simu uende haraka- Mhhh for such an internal story an umesema ameolewa miezi 2 imepita, so for the past 60 days alikuwa normal and after 2 month ndio anakupigia uende haraka? it would sound close to reality akikupigia in two weeks as she is still in shock?
3. Umeclaim the male organ is superior- How do we buy this? since the teller is a woman, what if there was a man involved akasema the female is superior? for you to conclude this, una uhakika gani ?
4.Eti mumewe amemuelekeza mkewe akuambie wewe kuwa ana two organs? Haingii akilini-Tatizo ni langu halafu nimwambie mke wangu amwambie rafiki yangu juu ya siri yangu kuu. Aisee unapendwa eeh

5.Looking at similar stories in the same range of join dates (May) Im starting to connect the dots, ila kumbuka hii ni JF ,people analyses further than your statements
 
Back
Top Bottom