souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,103
Jirani nitumie bana naona uvivu kuja hukoJirani yangu uombe nn nikunyime..Haya njoo chukua mama
Sawa..Nakutumia na mrija..Au hupendi kunyonya?Jirani nitumie bana naona uvivu kuja huko
Marahaba jirani,wewe ndiye umemficha kipenzi changu Eli79 ?Shikamoo mpendwa
Nikueleweje mwanamke, mara Eli ni jirani, na sasa mimi ni jirani tena?Marahaba jirani,wewe ndiye umemficha kipenzi changu Eli79 ?
Hahaha, QUIGLEY umenichekesha aisee.Nikueleweje mwanamke, mara Eli ni jirani, na sasa mimi ni jirani tena?
Je! unaudharau uvumilivu wangu kwako?
Ufike pahala umuheshimu akuheshimuye na umpende akupendae.
Kosa langu ni nini hasa?
Mbona wanitesa hivi mtoto wa mwanamke mwenzio?
Hapo kwenye kunyonya ndo penyewe jirani[emoji39]Sawa..Nakutumia na mrija..Au hupendi kunyonya?
Teh..Sijui kwann nilichelewa kuhamia mtaa huu.Kuna majirani wazuriHapo kwenye kunyonya ndo penyewe jirani[emoji39]
Hakuna wanawake mnakera sana.sometimes mtu unaamua kukaa kimya tu siwezi kufa kwa pressure kwa sababu ya mtuWiki 5 zote hizo duh! Mie ningebaki kilo 20 kwa stress,
Huyo chances ni ana mwenzio pembeni mapenzi na attention zimeenda kwake.