Mume wangu amenichunia

Atakua Ni jf member alipita kwenye uzi ukampa maelekezo jinsi ya kudeal na mwenye mimba si unajua hapa jukwaani hapakosekani ushauri ww Tu kuchagua unaenda na upi
 
Duh mimi wife ana mimba ya miezi mitatu tu ila hayo majibu nayopewa na mawasiliano yalivyo ya ukakasi nimeamini ndoa inahitaji uvumilivu kuna siku nimemwandikia sms ya kumuacha (sikumaanisha) yeye kanijibu simply nimuache ikabidi nirudi mwenyewe loh
Ulimbeep akakupigia.Hiki kipindi cha uja uzito ndio kipindi kigumu sana kwenye ndoa kwa mwanaume.Njia pekee ni mwanaume kuwa na mapenzi ya kweli na kumjali mwenzio.Mke wangu hadi leo ananiomba msamaha kwa mateso niliyoyapata(2010).Tuwapende na tuwavumilie maana ni sehemu ya maisha yetu
 

Huyo itakuwa alisoma ile tafiti inayosema watoto zaidi ya 60% wanabambikiwa baba.

Subiri ujifunguwe salama ahakikishe.
 
nenda clinic kwanza leo mtoto .. ukweli atakuwa kashikwa huko nje leo mwanao kwanza mengine yafuate
 
tupe namba zake tumseme, hana aibu kabisa leo ni siku ya wanawake una mchunia mwanamke ni ajabu
 
 
tatizo liko kwako wewe mama mjamzito maana wajawazito wanakuwaga na mapicha picha sana aisee mtu unaweza kuhama nyumbani na ndio ili linasababisha tuwe na michepuko kwa mapicha picha yenu kipindi cha ujauzito. Mwenye makosa lazima utakuwa wewe na huyo mumeo utakuwa unamkwaza sana halfu mnakuwaga hata hamuoni kama mnaharibu mie mke akipata mimba nampeleka kwao akawazingue ndugu zake huko sio mie
Tazama hii video kwenye link
 
Hapo kuna sababu na i suspect ww ndo chanzo wanawake mkiwa na mimba mnasumbua sana nimeexperience pia hii kitu afu itakuwa hapati game na hata kama anapata sio kama mwanzo mara nyingi ukiwa mjamzito mwili unachoka so itakuwa akikuomba unasema umechoka ndo maana anakasirika hata mimi ilinitokea lakini huyo jamaa yako kazidisha aiseee anatakiwa akujali na akupende zaidi kuliko mwanzo mimba inasumbua sana
 
Baada ya mimba labda ulizidisha madeko na kuagiza kila kitu unataka kuonja hata vya bei kubwa kuliko kipato cha mumeo na yeye akaona hapa nitaishiwa mwanamke anapenda kulakula saa sita usiku unamwamsha baby chips yai na soseji azitoe wapi?
 
Itakuwa umembebea mimba, hii hali itakoma ukikaribia kujifungua

utakuta yeye ndo anakula maembe mabichi na udongo huko kazini, believe me
 
hebu acha mashauzi nenda clinic? kwani njia ya clinic huijui? unadhani ni kila mwanaume unambeba tu umpeleke clinic? wewe baba yako alimpeleka mama yako? grow up woman achana na maisha ya movie ishi kiuhalisia..... kama unataka chakula flani pika ule
 

POLE NDUGU, MI NI MME NINA WATOTO WAWILI, KWANZA USIKU HAUWEZI KUPITA TUMENUNIANA, TUNAPISHANA ILA INTERACTION NDANI YA NYUMBA ZINAFANYA TUNARUDI KUWA NORMAL. 5 WEEKS? HIZO NI PEPO KABISA ... NA HUYO MWANAUME AJALI ESPECIALLY KIPINDI HIKI, MI NIMEKUPA FACTS, USHAURI KWA KWELI WATAKUPA WENGINE, WANGU WAWEZA KUWA WA KUBOMOA.
 
Gubu la mimba limempata yeye....
Heri na uchungu umpate pia, muombe ukakae kwenu kwa muda umuache na gubu lake anunie kivuli chake
 
Jaribu kujiangalia nawe una mabadiliko gani yaliyomfanya abadilike?

Unajiachia yani hujijali tena?

Una mjibu vibaya na kua na kisirani hovyo?

Humjali wala kumuheshimu labda?

Angalia upande wako kwanza urekebishe. Jishushe na ikibidi muitie watu wazima waongee nae
 
Looh jirani wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…