atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,807
Pls naona unataka kuniletea stress zako,hii mambo si tulishayamaliza au ndio mashetani yako yamekupanda huko ulipoUsinishobokee mzee. Unajua dini yangu? BTW my comment was impersonal. Pambana na haliyako usiniletee frustration. Usiniletee udini hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliamaliza nanani. Just give me a break. Hata yakinipanda inahusu. I don't see any collocation mashetani kunipanda nakuniletea stress zako jioni hii. Kwendraaaaa mbwa mkata nyororoooo. Kwendraaaaa. MbwaPls naona unataka kuniletea stress zako,hii mambo si tulishayamaliza au ndio mashetani yako yamekupanda huko ulipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka stress zako huko aliekutumia leo inaonekana hajakulipa ameingia mitiniUliamaliza nanani. Just give me a break. Hata yakinipanda inahusu. I don't see any collocation mashetani kunipanda nakuniletea stress zako jioni hii. Kwendraaaaa mbwa mkata nyororoooo. Kwendraaaaa. Mbwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Is okay nawewe aliekudanga kakuwachaa angaani. Afazali yangu nimeburudika weweje?Peleka stress zako huko aliekutumia leo inaonekana hajakulipa ameingia mitini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaaaa, watu wanabeba Mababu itakuwa Mababa, uzee ni vile unavyojiweka hakunaga mzee.kama mume ana miaka 70 mke si anayo 70 au 68? wote si wazee jamani? hizo boxer atafua saa ngapi ukute na uzee umemjia na maradhi? tuwaheshimu mama zetu na wabibi wetu.tuwaache wale uzee bila stress na wapenzi wao jamani loh
Hahahahahah aiseee baba Jesca alegeze tuu maana hali ni mbayaIs okay nawewe aliekudanga kakuwachaa angaani. Afazali yangu nimeburudika weweje?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amestaff usister saivi ni mwendo mdundo
Ila burudani hatukosi upoo. Sasa wewe pesa huna na ny**ge kibao. Ndomana unatangatanga ka maiti za KageraHahahahahah aiseee baba Jesca alegeze tuu maana hali ni mbaya
Malaya wamekosa soko huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh ukamsafishie Retired Sister asikwazike [emoji2] [emoji2]Hii ni kali kuliko.. Ngoja nikamsafishe wangu
Tufanyeje sasa? Namuweka soap soap kwaajili yakeTeh ukamsafishie Retired Sister asikwazike [emoji2] [emoji2]
Tena wanataka wake wawasafishie wao wafaidi kuchepuka. Uchangudoa huu!