Mume wako ananitaka

Status
Not open for further replies.
GRACE HUYU NAONA ANATAKA UACHANE NA MUMEO ILI AMCHUKUE JUMLAAA..KWAHIYO USIKURUPUKE KWENYE HILI SWALA...TAFAKARI NA UCHUKUE HATUA TARATIBU,KAMA KUNAKITU MUMEO UNAMPUNJAGA ONGEA ASIENDE TENA KWA HUYU MWIZI. byee
 
huna lolote,kama kweli anakutaka mwambie amwache mkewe aje kwako uone utakavyozungushwa.
grace wala usikurupuke huyu anataka tu kukusistab akili acha aliwe kabang basi
 

Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhh hii dunia bwana ina vituko kibao,

Hata hivyo, haya mambo siyo rahisi namna hiyo....

Ila ukweli unabaki pale pale. Ni wanaume wachache sana ambao wameoa, na wana familia zao ambao wanatokea kumpenda kweli kweli (kwa maana ya kupenda) mwanamke mwingine nje ya ndoa...Wanachokitafuta ni mahali pa kupunguzia mizigo yao na kuogeza idadi...

Siyo jambo la kujisifia hata kidogo kutembea na mtu ambaye yuko kwenye ndoa...

Naomba niishie hapa...

Babu DC!!
 
baada ya kumpa kupiga
baada ya kumkamua pesa zake za kutosha
baada ya kumchoka ndo umeamua kumrelease?
au kagoma kuhonga?
 
GRACE popote ulipo ujue kuwa mume wako ananitaka,nimevumilia vya kutosha,nimemkanya hasikii,
Message sent

Una ushahidi, au unataka tu kuvuruga ndoa ya mwenzio? Kama unampenda sana huyo rafiki yako msaidie kutengeneza ushahidi ili iwe fundisho kwa huyo kidume.
 
Hahah mume wa grace mchovu nn?hana mahela ya kukuhonga angekuwa nazo wala usingekuja huku kumweleza grace,ila wanaume wachovu hawana mvuto aisee,mwenyewe ana boxer 1 ww atakupa nn?wanajiaibisha kutokea warembo ilhal wamechokaaaa

Si anakupa DUSHELELE uhangaike nalo .................!:A S wink:
 
hahahah, jamani Grace mkanye mumeo asimsumbue bidada wa watu. Ila bidada nikuambie kitu? Akikusumbua tena basi mpige picha ya kadudu kake halafu ukabandike kwenye noticeboard ya manispaa ndipo ataacha kukusumbua.

Ila hakuhongi? Maana huyo Grace nasikia kajengewa bonge la mjengo na hamsumbui sumbui sana kama weye!
 

Babu DC ulichosema ndiyo msimamo wangu. Ni nadra mtu aliyekuzalia watoto wazuri ambao ndiyo fahari yako umtende kirahisi bila nafsi kukuhukumu.

Kama wapo basi ni kama ilivyosema ni ile hali ya kuongeza idadi.
 
Ha ha ha, nilidhani wewe ni mama mchungaji? Ukorofi umeanza lini?

 

hahaaa umenichekeshaje Kaunga......
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mtu anatumia njia hii kukwambia ujue tayari kishavua ch........na anahisi kuwa utakuja kujua hivyo kutokea kutokuelewana.Chukua hatua.
 
GRACE popote ulipo ujue kuwa mume wako ananitaka,nimevumilia vya kutosha,nimemkanya hasikii,
Message sent
...wait, message sent but not delivered, let Grace read the message before you decide to strip for her hubby!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…