Mume wake dada hataki kunipa mtaji

Imekolea tangawizi hii
 
Rudi kwa wazazi wako, hapo kaolewa dada ako km unataka uhudumiwe upewe na mtaji basi utakuwa mkewe wa pili. Mtoto wa kiume kutwa kushinda kwa shemeji na siku si nyingi utapewa na zamu ya kupika maana upo tu hapo huchangii chochote, maisha yalivyo magumu mjini sembe kilo 2000 wewe leo ukamlaumu mtu eti hakupi mtaji loooh rudi kwenu ukalime
 
🤣🤣🤣🤣🤣kupewa lazima?
If yes shikilia hapo hapo mdogo wangu hadi kieleweke.
 
Sasa unataka mume wa dada yako akupe mtaji wa kiasi gani? Kwa biashara gani uliofanyia uchunguzi ukamweleza?na kwa kiwango gani umekionyesha hapo nyumbani kwa mumewe na dadako kwamba unafaa kusaidiwa? Kama hakuna kitu huoni kama ni ufala unataka kupewa hela ukat**ee? Wewe kijana mdogo wa miaka 29 mbwa kabisa
 
Wewe ni kajinga sana
 
Vijana wetu mnakatisha tamaa.
 
Wewe siyo kijana mdogo kwa umri wako, ondoka kwa shemeji yako katafute maisha.
 
😂😂😂 komaa bro…wasipokupa mtaji usiondoke
 
nimegoma kula chakula chao usiku.

Naombeni ushauri, sielewi nifanye nini.
Yeah, shikilia msimamo huo mwamba hakuna kula kama hawakupi mtaji! Na namshauri shemeji yako awe anaanzisha huo ugomvi muda huo huo wa kula labda utajitambua!
 
Wanashindwa kujibana hata mwezi ili mimi nipate mtaji?
Kuna watu huwa wanadhan kusaidiwa ni haki yao. Yaan wewe hujui mtu anapataje hela af unadiriki kumpangia matumizi? Eti ajibane, una akili wewe? Sorry kwa hilo swali sababu najua tyr hauna akili sababu unapewa chakula cha bure af unakataa kula.

Bandiko lako limejaa trash nyingi ila hio ndo imenikasirisha zaidi.

Una female mentality ndo maana unaona kusaidiwa ni haki yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…