Mume wake dada hataki kunipa mtaji

Mshenzi Nini, kwan ukijishughulisha na kazi za hapo nyumbani utapungukiwa nini au unahisi utakuwa house boy... Maadam upo chini ya dari yao unatakiwa ujishughulishe na kufuata maagizo yao, acha ushamba wa kupandia watu kichwani.,, Jua kula na kipofu mpumbavu wewe
 
Mwanaume ni marufuku kwenda kwa dada yako aliyeolewa, labda kuwe na ishu kubwa na usikae zaidi ya siku moja
 
Hii ni chai yenye tangawizi nyingi, amna kijana mdogo wa 29 years old....
 
Daah una umri mkubwa sio wa kukaa kwa shemeji huo makabila ya wapi yanaruhusu huo Ujinga na unakomaa kutaka mtaji kwa shemeji hapo ondoka hakuna kitu utapata kwa shemeji yako maana dada yako anaonekana anapewa tuu na wewe upewe si mtihani huo...29yrs unajiita kijana mdogo daah hapo ondoka siku za mwanzoni fanya iwe sehemu ya kwenda kula tu baada ya wiki au mwezi utaweza kujisimamia acha uzwauzwa huo bhana..
 
Naimani hii issue sio serious,ni umeileta ili tucheke tuu.
 
Hii ni story ya kutunga tu haina uhalisia wowote.
 
Ukipewa mtaji wewe utatoa nini?
Wewe acha ujinga 29yrs unajiita kijana mdogo?
 
Ni tit4tati
 
Kwani na wewe ni mkewe ama? Tafuta mishe zako utakuja kugongwa na wewe kama dadaako Papai wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…