Mume wake anapenda kuangalia picha za ngono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume wake anapenda kuangalia picha za ngono

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by yeniba1, May 27, 2011.

 1. y

  yeniba1 Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana jamii kuna dada ameniomba ushauri kutaka kujua hasa ni kwa nini mumewe anapenda kuangalia picha za ngono. Anauliza au ni tabia za wanaume wengi au mumewe ana kitu gani?

  Anasema hivi.. mumewe huwa ni mtu wa kuchelewa kulala mida anayolala ni saa sita kwenda mbele. Huwa ana tendecy ya kutoka kidogo jioni hasa akishakula chakula cha jioni. Na anapotoka huwa hachukui muda sana anarudi. Sasa akirudi huwa anakuwa sebuleni peke yake mkewe na watoto na watu wengine wakati hou wameshakwenda kulala. Anasema kitu kilichomfanya ajue huwa anaangalia picha za ngono akiingia chumbani ni lazima awe amefungua suruali na kuvua shati. Anasema alifanya uchunguzi kujua anafanya nini akiwa hapo sebuleni siku hiyo akanyata toka chumbani akamkuta anaangalia hayo mambo ila hakumwambia na hakutaka ajue kuwa amemuona ameobserve several time mchezo ndio huo na mpaka sasa hajamuonyesha mumewe kuwa anafahamu anafanya nini? Anachotaka ni kujua mumewe anaweza kuwa na shida gani?
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Pole sana. there could be two explanations:
  1) It seems the guy is practicing masturbating ... this could explain why akija chumbani huwa amevua suruali na shati

  2) Kuna kitu amgacho anakipenda, na wewe huna, sasa anajaribu kukitafuta kwenye movies
   
 3. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Pepo anamsubua. Amfanyie maombi. Kwa nini avutiwe sana na fictions wakati mkewe ambaye ni real yupo?
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Ana matatizo ya kisaikolojia huyo,apewe ushauri aache.Kama angekuwa na mamaz ingekuwa poa tu katika maandalizi.
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mkewe hamsatisfy ndo maana anajipooza kwa japo kuangalia tu
   
 6. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ni vema amwambie/amuulize ni kwa nini anafanya ivyo?? au akiwa anaangalia na yeye (mkewe) amfuate waangalie pamoja
   
 7. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  isije ikawa tatizo ni la mke pia, unaweza kukuta mke yupo yupo tu.....huwenda mume haridhiki na mkewe
   
 8. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  huyu jamaa anapenda tu kuangalia hizo muvi za sex yaani ndiyo interest yake na hakuna kitu kingine chochote kibaya alichonacho...!!
  ni sawa na mtu mwingine kupenda kuangalia muvi za jackie cheni, vandame, prisonibreki. 24, za dini nk. hii ina maana kuwa kila mtu kuna aina za muvi anazopendelea kuangalia. wengine wanapenda true story na wengine wanapenda fikisheni story hvo jamaa huyo wala hana tatizo lolote la kisaikolojia, kidini, kijamii, kifamilia wala kibinafsi. zaidizaidi ningemshauri huyo mke na yeye angeungana na mumewe katika kuzitazama hizo picha, hapo atagundua kuwa alichelewa...!!
   
 9. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mh ni muhimu sana au kuna mtihani?
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mimi sioni kama kuangalia porno ni tatizo,kwangu mimi naona ni suala la hobby tu.Yeniba, ninakushauri ujitahidi kuwa open minded katika sexuality yako na mmeo msukume akubali kuwa open minded katika sexuality yake.Nyie si mwili mmoja bana? Sasa ya nini muishi katika fantasy wakati miili yenu ipo kwa ajili ya kuridhishana ili mradi msiumizane kimwili na kisaikolojia? Ushauri wa bure,nenda kakombe kaa akiba kako benki kanunue ka TV kadogo na deki yake hata kama ni ka mtumba,akirudi we m surprise na picha za ngono chumbani kwenu uone reaction yake.Kwa jinsi nilivyokusoma immediately thereafter tendo lenu la ndoa litashamiri utashangaa. Nakuhakikishia midundo chumbani itakavyokuwa inazidi kumpandisha mzuka pole pole na yeye ataanza kuwa bored na ma video yake hayo.Jaribu mama na best wishes.
   
 11. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mpe pole.
  Huyu bwana lazima atakuwa na tatizo fulani ambalo hataki mkewe alijue.
  Kwenye majamboz ya sita kwa sita performance yake ikoje? and how frequently are they do.
  Anaweza akawa na matatizo ya masterbation kama Okada anavyosema au ana matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na hizo picha anazitumia kama jeki.
  Ni vizuri amwambie mumewe ili waweze kulitatua hilo tatizo, matatizo kama hayo hutatuliwa na wawili, ikiwa ni siri ndio yatazidi.
   
 12. y

  yeniba1 Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa mwenye mume. Anasema hahisi kama ana tatizo la kutomridhisha mumewe mana ameshawahi kabla ya kuolewa kuwa na uhusiano na mtu mwingine ambaye hakutaka kuolewa naye na ilichukua muda kwa yule jamaa kumuacha na alikuwa akimsifu kuwa anaridhika sana. So anashangaa huyu mume kulikoni? na hata uhusiano wa kama mume na mke jamaa anaonekana ni mvivu yani swala hili kwao ni kama lina ratiba vile inaweza pita wiki nzima bila kujuliana hali na hata akijaribu yeye mke kumjulia hali mumewe wakati mwingi mambo hayaendi vizuri. Kuna nini hapo?
   
 13. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kuangalia porn sio tatizo,once in a while....ila kama kila siku hio ni tatizo....manake ni addiction sawa na kuvuta sigara,kunywa pombe anahitaji msaada wa kisaikolojia...aweze kupambana na hio addiction...............:smow:
   
 14. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ukiona hivyo hamu yake na wewe imepungua yaani kakuzoea sana hivo anatafuta kitu kimpandishe mzuka akija kwako anafakamia tena anaweza hata akawazia yale aloyaona mpaka anamaliza mchezo. mwambie unajua ili aache mapema ilo ni tatizo ndugu yangu unalilea
   
 15. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Pole mwaya utakuwa ni wewe tu huwezi jua data za ndani hivi za mwenzio? jipe moyo mwambie ataacha tu mamii
   
 16. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145

  Sasa usiri wa nini?
   
 17. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mmh! Something is not happening in your sex life as a couple. Halafu inaeleke mawasiliano ni tatizo Mr anatokaje jioni daily baada ya kula usijue anaenda wapi? Mweleze tu kuwa umeshagundua anachoangalia.
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Maneno kuntu....lol
   
 19. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  huyo mke naye kimeo, inaonekana ameshapoteza mvuto hata mumewe havutiwi tena naye...
  istoshe, inaonekana pia ni goigoi sana.
   
 20. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mh! Vp umeshajaribu kumtega au kumjalibu
   
Loading...