Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,291
- 15,748
Kifo ni kifo tuMume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia vyombo vya habari.
R.I.P Mzee Hafidhi Ameir🌹Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia vyombo vya habari.
View attachment 3665072
Mzee apumzike alioa satanR.I.P Mzee Hafidhi Ameir🌹
Hizi ni habari njema sana. Asante Mungu. Ngoja naye aonje uchungu wa kufiwa.Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Mzena zanzibar hospAmefia wapi?
RIP Baba,Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.