Mume wa mtu nouma

Mume wa mtu nouma

mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. Sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! Nimekumis je? Nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? Nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. Je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. Ushaur plz....

aaaaaaah makubwaa...!!
Akaamua kujichetua sio??
Wanaume sisi somtimes yes somtimes no..
Unevivunja mbavu sana had domo langu lisilofunga likamwaga mate mkuu
lol..
 
una uhakika kweli una miakd 22,hebu nenda kamuulize mama yako vizuri,utakuwa na miaka 16
 
Watu nyie mnaofuata waume za watu ndio mnaovunja ndoa za watu. Kua uyaone kwavile hata watu wanapokuonya hapa pengine yanaingilia huku na kutokea kule
 
Si unaona?? Ni huyu huyu. Yaani thread zingine unajiambia aidha kweli common sense is not common, au anatutungia stori mbofu ili apate reaction nyingi. Na reaction aliyotaka ameipata.

Umejuaje? Maana leo kaja na thread mumewe anamtesa,anadai ameolewa na ana mimba ya miezi 6 ila mumewe anampiga. Au majina yanafanana?
 
Na wewe umchukue mlale nae, ampigie simu amtukane mke wake
 
ushauri mzuri sana nimeupenda
nimemshauri kadri anavyotaka na anavyopenda yeye! siku wakigandana sisini kwenda kupiga picha tu na kuzileta hapa mtandaoni!
 
Shosti umenichekesha sanaaaaaaa, ulichopewa na mungu kumnyima mwenzio sio vizuri kwani nawewe pia hukununua mpe tuu,ili kesho aje na mkewe akupige makofi halafu akamwambia anakupenda..
 
mii naona bora muonjeshe tu kidogo nakama uyo jamaa mkono wake sio wa birika basi vuta tu nmisimbazi ila kua makini mwisho wake ni mawaya.
 
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....

Ningekuwa karibu yako halafu unaniomba ushauri kwa jambo la kipuuzi namna hii ningekucharaza bakora hiyo,usingenisahau maisha yako yote
 
siku huyo mpenzi wako wa tangu utotoni atakapo kusaliti usije jamvini kuomba ushauri.
 
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....
Wewe mara mke wa mtu mara mchunba wa mtu. Mbona hueleweki?
 
AKIKUPIGIA TENA USIKU... nenda nyumbani kwake ukalale hukohuko...

Istaanbul, baghdaadi, Washington....
 
uyo sio hit and run ila ata hit hit hit mpaka ukimbie mwenyewe

kashakwambia ni mume wa mtu bado unaruhusu akupigie simu usiku na akuite sweety utapigwa na chupa shauri zako
 
Mwanaume akiwa anataka k mpya atasema hampendi hata mama yake
 
Back
Top Bottom