Mume wa mtu nouma

Mume wa mtu nouma

Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....
sina uhakika na ufahamu wako
 
Tafiti inaonyesha vijana wenye miaka 16-24 ndiyo wanao ongoza kwa maambukizi ya virusi hatari vya ukimwi.
 
Muonee huruma umgaie kidogo maana ndio zenu. Ukisumbuliwa sana unampa ili aache usumbufu.

Baadhi yenu huwa mnasema............HAMCHAGUI HAMBAGUI ATAKAYENIZIKA SIMJUI
 
Mpe tuu uo mzigo maana ndicho anachotaka tuu.mke anae wewe anataka akugonge tuu kwa hamu aendelee na maisha yake na mke wake.
 
Huyo mchumba wako kalamba garasa, namwombea asije jichanganya akakuoa ikala kwake mazima
 
Anakupenda sana sana sana nawe mpende pia.

Pu. mbavu zako ushaitwa Malaya still uauliza kama unapendwa? Una bahati ungekuwa karibu yangu ningekucharaza kama punda wa dobi I hope usingenisahau.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jitahidi kuwa mwanamke mwenye msimamo bwana, kwanza kama ulivyosema wewe tayari unamchumba na mbali ya yote umekiri kabisa mnapendana na mna mpango wa kuja kuoana, sasa kama ni hivyo ni kwanini basi unaruhusu mwanaume ambae sio mchumba wako anakukaribia kimapenzi kiasi hicho?..........................Halafu kitu kingine cha muhimu zaidi hebu pendaneni na muoneane huruma nyie dada zetu, wewe mtu ameshakwambia ameoa na isitoshe zaidi tayari ana mtoto......amesha kuwa baba huyo na ana majukumu ya kutunza familia tayari, oky let's go to the next point>>>>>

Sasa katika swala kama hili na wewe kama mwanamke wa kisasa, mpenda maendeleo, mpenda amani na mzalendo wa haki za wanawake na pia unaetambua kuwa hakuna familia iliyo bora inayoweza kujengwa pasi na kuwa na mwanamke mwenye msimamo thabiti wa kimapenzi kwa mumewe na familia yake kwa ujumla. Sasa kama ni hivyo basi, kwa nini unataka kuanza kusababisha mchumba wako aanze kujiuliza..........je tupo wangapi?

Sasa yangu ni haya
1. Jitahidi kuwa na mapenzi ya dhati kwa mchumba wako, kama ulivyosema mlianza kupendana tokea wadogo

2.Tambua kuwa huyo jamaa huyo anaekusumbua tayari anafamilia, nikwamba hapo ukicheza rafu tu basi jua umevunja ndoa ya watu......yakawa kama yale ya mwana meka......Na kikubwa zaidi utasababisha mtoto(kiumbe asiye na hatia) kukosa malezi ya familia bora, na isitoshe, hivi ukiwa umekaa utajisikiaje moyoni endapo utajikuta wewe ndio umekuwa sababu kubwa ya kuvujika kwa ndoa ya watu?

3.Muheshimu mwanamke mwenzio

4.Cha msingi hapo, tafakari niliyo eleza hapo halafu chukua hatua..................
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulivyoandika ulirudia kusoma kabla ya ku post? Au umekurupuka kuandika na ku post bila kujua ulichoandika au unatafuta bwana indirect!! Hahaaa
 
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....
Yani miaka 22 ushatolewa bikra kweli kizazi cha nyoka ukifikisha 30 hutakuwa na malinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tamaa zako zitakuponza. Kaa mbali na tamaa za kupendwa pendwa . Kwani mchumba wako hakupendi au
 
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....

Hata akudanganye vipi mke ndo namba 1, kwaiyo we sepa baki na mchumba wako.....huyo mchukulie poa na usimwamini atakachokuambia
 
Back
Top Bottom