Kubari tu kuwa wewe ni mke wa mtu anaekupenda ukiendekeza hisia utaharibu ndoa yako na utaanza kucheza sebene la maisha lisilo na mwisho mwema.Habari za weekend wakuu
Nimekuja kwenu na I'd mpya maana naona mpaka aibu, kueleza na isitoshe nipo humu ndani Nina marafik najuana nao na mashemeji zangu pia wapo na tunajuana I'd.
Miaka 7 iliyopita nilikutana na kaka mmoja muheza tanga alikua kikazi namm nilikua nipo pale kikazi tulikua marafiki SNA, nikajikuta nampenda SNA ila yy alikua na mahusiano yke.
Basi siku moja uzalendo ukanishinda nikamwambia M, nakupenda SNA akasema hata yeye anahisia na mm ila anamchumbaake anamsomesha so hawez kumuacha. Basi niliumia lakin nilimuelewa tukabak kuwa marafik
Baada ya mwaka nikapata mchumba nikaolewa, nikabahatika kupata watoto wawili na mume wangu ambae naishi nae mpaka sasa kwa kweli Mr, ananipenda na wote tunahofu ya Mungu Hathaway kuumizana kwa namna yoyote miaka yote mitano tuliiishi wote.
Jamaa yangu yule wa muheza nayy mwaka juzi akaoa, lakin ndoa yao haina Aman wanagombana kila Siku mwaka Jana waligombana M, akanitafuta kuwa wife anamsumbua na wametengena Basi tukajikuta tumefall in love tunatumiana PC mpaka za uchi nikajikuta nampenda SNA kuliko hata mume wangu, na hapo hatujawah kusex hata Siku moja.
Mwaka Jana wakapatanishwa na wife wake, akaniambia nikamwambia sawa, coz hata mm pia Nina mume so sio big inshu akanuambia unajua nn V, tulia kwenye ndoa yko Mungu amekupa mume mzuri na mnaishi kwa aman acha mm nipambane na hali yangu, nilikupoteza kwa ujinga wangu ingawa bado nakupenda lakin mumeo akija kuona chat zetu atakuua.
Niliumia nikamwambia okey lakin umeniteka akili yangu naumia SNA juu yako, nataman tukutane hata Siku moja tupeane raha alafu tuachane akasema sawa, ila mawasiliano na mm kapunguza anaogopa mm make wa MTU na mm nimeshadata kwake nifanyaje jaman.
Cjawah kuchepuka hata Siku moja namuogopa Mungu, namuogopa mume wangu akijua itakuaje ananiamini SNA.
Yule jamaaangu wa muheza nampenda SNA tena SNA nayy Ananipenda lakin naogopa kuchepuka.
Naombeni ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh, Khantwe...Ni kweli unaninifahamu pengine kuliko mwanajf yeyote, ukiacha wale waliojoin tukiwa tayari tunafahamiana. Ila nina imani hutanielewa maana yapo mengine niliyokwisha kukwambia hukunielewa teh
Sent using Jamii Forums mobile app
We nae ulitendwa nini na singo maza?pole wahitaj kupona ,yaonekana huyo mwanamke alikujeruhi sana cause most ya comments zako unawadis sana singo maza and you sound bitter. Polee
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha rafiki usiumize kichwa kwaajili yangu mambo ya kawaida tu, hakuna mtu mzima mwenye akili timamu asiyekutana na changamotoMmmh, Khantwe...
Find something useful to do baba ushauri,mwanaume hasifiwi kujitia baba ushauri Bali kazi na hela,eti ohh una tatizo gani nikusaidie,mwenzio ni jobless huyo, mtafutie kazi basiKushinda na kukesha, hadi umejua nashinda na kukesha JF, basi una kazi sista. Ila kwa vile umeshasema kuwa una-date mume wa mwanamke mwenzako na unakaribia kuwa mama, means unapitia changamoto niliyotaja hapo juu(matatizo ya kimahusiano), wanaipitia wengi, huenda hata mimi nikaipitia siku moja. I'm human after all, lazima nipitie changamoto, ila kwa huo ushauri umemdanganya mleta mada, ataingia chaka...
[emoji3][emoji3]Hebu tuone hizo picha ulizomtumia
Find something useful to do baba ushauri,mwanaume hasifiwi kujitia baba ushauri Bali kazi na hela,eti ohh una tatizo gani nikusaidie,mwenzio ni jobless huyo, mtafutie kazi basi
Hahahah keyboard warrior
Am out
Sent using Jamii Forums mobile app
We hufanyi uasherati? Mshauri afanye cha maana. Mbinguni nahisi hata wewe huendi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbinguni kwa baba kuna raha kuliko hizi za dunia, endelea kumpoteza
Bahat huna ww! ubak peke ako kivip yaaan.....Ushamkosea sana mme wako.. Hiyo hatia itakutesa miaka na miaka..
Umepata chema kwanini usiridhike shogaangu?
Ndoa za siku hizi zimekua za hovyohovyo kias jwamba sioni maana ya ndoa.. Ni bora nibaki huru na maisha yangu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wote wangekuwa kama wewe, Maisha yangekuwa salama sana. Kama umeolewa mwenyezi mungu amlinde mumeo na fitna. Kama hujaolewa mwenyemungu akuongoze na akujaalie kupata mume bora.Kuna vitu vingine hata si vyakuomba ushauri,unaabisha wanawake wenzako,wanaume watuone punguani
Hata aiingii akilini,hivi kweli mlikuwa marafiki ukamtamkia unampenda akakuambia anamchumba,hamjawahi sex bado ukampenda hivyo hivyo
Wakati mi mwanaume akinijibu kama hivyo nashukuru kuujua ukweli kuwa ana mtu wake kupenda naacha hapohapo,nabaki kuheshimu mahusiano ya MTU,afu siwezi kushare[emoji533] huku najua.
Tuachane na hayo umeolewa mnaishi kwa amani,bado unatafutana na huyo rafiki mnarushiana picha za uchi serious??!!
Afu zikija kuvuja utasema shetani alikupitia,badilika unajua kuna mambo mengine hata shetani atawakana
So sad,namuonea huruma Huyo mume alokuweka ndani afu unakipiga picha kitumbua chake unamtumia mwanaume mwingine si ajabu Mr katoka kukishave mwenyewe ajionee kinavutia
Aisee ushauri wangu badilika,mapepo ya ngono na usaliti mnayataka wenyewe kwa kutokulidhika na mlivyo navyo siku vikipotea ndo mtajua thamani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kama unaomba ushauri ukiwa tahari na ushauri wako kichwani,vile unataka tu kuhalalisha unachofikiri,Hizo PC sio kwamba ni full pc, ni nusu na wala hazioneshi sura,
Inamaana mm ni mjinga kiasi gani nijiachie hivyo,
Jaman nitukaneni mnushutumu, lakin mapenzi yanatesa na nampenda SNA yule jamaa wa Muheza nahisi anaweza nikuna vzr na dudu lake kubwa, Mr HANITOSHEREZI over
Mnitukane lakin vaen kiatu changu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!!!Hizo PC sio kwamba ni full pc, ni nusu na wala hazioneshi sura,
Inamaana mm ni mjinga kiasi gani nijiachie hivyo,
Jaman nitukaneni mnushutumu, lakin mapenzi yanatesa na nampenda SNA yule jamaa wa Muheza nahisi anaweza nikuna vzr na dudu lake kubwa, Mr HANITOSHEREZI over
Mnitukane lakin vaen kiatu changu
Sent using Jamii Forums mobile app
Madam, tuna ugomvi mimi na wewe?Find something useful to do baba ushauri,mwanaume hasifiwi kujitia baba ushauri Bali kazi na hela,eti ohh una tatizo gani nikusaidie,mwenzio ni jobless huyo, mtafutie kazi basi
Hahahah keyboard warrior
Am out
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaanza kujichuja tena wanaoenda na wasionda mbinguni, wewe huendi mbinguni kabisa subiri hukumu yakoWe hufanyi uasherati? Mshauri afanye cha maana. Mbinguni nahisi hata wewe huendi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]