Mume wa mtu ananitesa

Muombe sana Mungu akuepushe na hilo pepo la ngono linalowaka tamaa juu ya huyo mume wa mtu.... Ukilishinda utashinda zaidi ya kushinda na furaha itaongezeka maradufu kwenye ndoa yako.... Ukishindwa kuhimili umekwisha.. Anguko lako litaanzia hapo

Jr
 
Daaaahhhhh...
Barikiwa sana dada yangu,walau umenifanya niamini bado kuna wanawake wema wanaoishi.
Nimekupenda kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen

Tupo mkuu sema ndo hivyo wanatuharibia watu wa aina hii,nyanya moja ikioza tenga lote limeoza kumbe hamna,hulka tu za wanawake wapuuzi

Yani hata haileti maana upendo gani wa kijinga huo,watu wanatamani kupata ndoa wengine wabazichezea,wengine wapo kwenye ndoa hawana amani wengine wanavuruga amani

Kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firauni.

Mi hata nikupende sipigi picha ya uchi Mimi hata uwe mume,kuna Leo na kesho wanadamu hawa hawa viumbe dhaifu hapana kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno la uzima hili, wanawake wote mngekua hivi wanaume wasingekua na michepuko
 
Hizo PC sio kwamba ni full pc, ni nusu na wala hazioneshi sura,
Inamaana mm ni mjinga kiasi gani nijiachie hivyo,

Jaman nitukaneni mnushutumu, lakin mapenzi yanatesa na nampenda SNA yule jamaa wa Muheza nahisi anaweza nikuna vzr na dudu lake kubwa, Mr HANITOSHEREZI over

Mnitukane lakin vaen kiatu changu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nafurai kwasababu bado ujampa kitumbua plz plz plz usimpe icho kitumbua kutombewa kunauma San plz plz plz ww dada usimpe iyo tamu ok

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuwezi vaa viatu vyako ni vichafu na ni oversize....vinakuenea we mwenyewe
 
Pole bibie ukileta mada hapa au kuomba ushauri jiandae kwa yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…