Hafu watu hufikiria ndoa ni mafanikio na hamna tatizo kumbe ndoa ni jela nyingine. I always love my daddy hunambia ukweli kuwa nitimize malengo yangu ya maisha marriage is an extra thing in life. Hafu ukifata haya mambo ya socially constructed you won't enjoy ndoa zenyewe watu wameoana ni Malaya kuliko single.Hapana,ni ninyi wanaume pamoja na jamii mmeaminisha mabinti na wanawake,kuwa ndoa ndio kilele cha kila kitu kwenye maisha.
Hivyo bila ndoa msichana ama mwanamke si lolote,hana thamani ni rejected material, hata thread nyingi zinazoanzishwa MMU zinareflect hilo .
Hivyo kuepuka kuwa labed as a rejected material, wasichana na wanawake wengi wanaingia ndoani especially wakitz bila kufikiri Mara mbili,bila kupima kiwango cha upendo na bila kujuwa maana halisi ya ndoa.So tusiwalaumu,to every action there is an equal and opposite reaction, haya ni matokeo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapata majibu Google, nisaidie le super lady walokole wanakuaje
Cheaman, tumsajili huyu mzinzi?Contradiction ya hali ya juu. Kati ya hayo mawili kuna kimoja sio kweli..and I suspect huna hofu ya Mungu kivile na mumeo humpendi kivile..mapenzi yapo Muhezaa..sad.
Cc Daby, chunga sana
Bcc Asprin kwa taarifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Babu nakusalimia
kuna namna ya kuwala wake za wapemba piaNdio maana mi staki kuoa.....ndoa zimejaa use. Nge....use...nge. Na yule single maza naye anataka nimuowe....shubaamit. si ndio yatakuwa haya haya.
Wapemba wakificha wake zao wasitoke ndani wanaonekana wabinafsi.
Hizi kazi hizi. Wengine wanaliwa na mates wao wa kazini.
Sioi
Sent using my Nokia Torch
Hafu watu hufikiria ndoa ni mafanikio na hamna tatizo kumbe ndoa ni jela nyingine. I always love my daddy hunambia ukweli kuwa nitimize malengo yangu ya maisha marriage is an extra thing in life. Hafu ukifata haya mambo ya socially constructed you won't enjoy ndoa zenyewe watu wameoana ni Malaya kuliko single.
After all hata ukiolewa jukumu lakujipa furaha yako ni lako mwenyewe tena usipopata mtu sahihi ni kujiandaa na machungu ya milele
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuitika mpenzi wangu...Babu nakusalimia
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
.Sijawahi kuchepuka hata siku moja namuogopa Mungu, namuogopa mume wangu akijua itakuwaje sababu ananiamini sana.Naombeni ushauri, nifanyeje?
Uko sahihi pia. Ni sheria za jamii zimeamua hivyo. Hata hivyo kadiri muda ulivyopita jamii imebadilika mno kimtazamo. Ila wengi bado wapo huko kwenye kufikiri ndoa ndio kila kitu kwa mwanammkeHapana,ni ninyi wanaume pamoja na jamii mmeaminisha mabinti na wanawake,kuwa ndoa ndio kilele cha kila kitu kwenye maisha.
Hivyo bila ndoa msichana ama mwanamke si lolote,hana thamani ni rejected material, hata thread nyingi zinazoanzishwa MMU zinareflect hilo .
Hivyo kuepuka kuwa labed as a rejected material, wasichana na wanawake wengi wanaingia ndoani especially wakitz bila kufikiri Mara mbili,bila kupima kiwango cha upendo na bila kujuwa maana halisi ya ndoa.So tusiwalaumu,to every action there is an equal and opposite reaction, haya ni matokeo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ngoja kwanza...umesemaje kwamba Mzigua90 kwake Muheza...hebu nielekeze njia