Mume wa mtu ananitesa

Ndio maana mi staki kuoa.....ndoa zimejaa use. Nge....use...nge. Na yule single maza naye anataka nimuowe....shubaamit. si ndio yatakuwa haya haya.

Wapemba wakificha wake zao wasitoke ndani wanaonekana wabinafsi.

Hizi kazi hizi. Wengine wanaliwa na mates wao wa kazini.

Sioi

Sent using my Nokia Torch
 
Penye miti hapana wajenzi!
Dunia hii kila mwanamke analilia mwanaume alotulia, anayependa na kujali! Wewe unaye unahangaika na mwanaume mwenye mke wake?!
Anakupotezea muda wako na mwisho atavunja ndoa yako!

Tulia tena umuombe Mungu akusamehe!
 
Nakwambia mdogo wangu upele humwota asiye na kucha na mwenye bahati habahatiki
Penye miti hapana wajenzi!
Dunia hii kila mwanamke analilia mwanaume alotulia, anayependa na kujali! Wewe unaye unahangaika na mwanaume mwenye mke wake?!
Anakupotezea muda wako na mwisho atavunja ndoa yako!

Tulia tena umuombe Mungu akusamehe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona umecheka kike?
Kuna usalama kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…