Hapa JF nashangaa, wimbi la ngono nchi ni kubwa ajabu sasa si mwanamke si mwanaume aliyeoa au aliyeolewa kutongozana na ngono limekuwa jambo la kawaida sana nashangaa kujadili hii mada inavyojadiliwa wakati ngono zinafanyika muda wote kwenye nyumba za wageni na wengine hata maofisini kwa sasa sehemu kubwa ya jamii yetu ni aibu kubwa na wafunzi wa chuo na sekondari ndio hatari zaidi
Hahahaha! Hommie hapo hata mwalimu wetu Gaijin atachemka!! Au ni do the needful?Nataka nikuelewe hapa lakini nashindwa....hebu punguzaa haraka then uweke point yako sawa!!:sleepy:
Hahahah Kaizer ni kweli huwa si vema kusema kuwa umetongozwa kwanza wajua inakera na wala si sifa kwako wala kwa mpenzio lakini ukiona umemkatalia mtu kistaarabu na hasikii inapaswa kumlipua mapema kabla hajakuharibia maana hapa ni suala la kulinda interest zako ati.hivi MJ1 kwenye kichen pati si ndo mnaambiwa mkitongozwa msiende kusema kwa wapenzi wenu? au
Hahahaha! Hommie hapo hata mwalimu wetu Gaijin atachemka!! Au ni do the needful?
:A S 101: Dont answer his calls, never reply his texts, au mpe mpenzi wako simu apokee akikupigia. Ila siku ingine usirudie kugawa namba ya simu hovyo hovyo sawa mama?
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there can't be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.
Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??
Hao ndo wenyewe bana..uliza Da Sofi!!.
Shida hapa inaonekana kama nawe ulimtaka..it makes no sense kuachia namba yako ya simu kwa mtu ambaye huna interest nae na mbaya zaidi unasema eti bado mnawasiliana kana kwamba nawe upo free, wala huna jamaa yako...kauli yako ya mwisho kuwa bado "haelewi" inaashiria nawe umempenda na labda unatafuta "justification" ya kuendelea nae.
Sidhani kama yawezekana mtu ambaye huna hisia nae ukampa namba yako ya simu labda kama mnajuana kwa muda mrefu na kama hamna mazoea na anakueleza mambo ambayo wewe unadhani ni upuuzi, ya nini usimwambie ukweli ukiwa serious na ukaweka bayana kuwa unaweza kumweleza hata mkewe na jamaa yako kuwa anakusumbua kwa ajili ya kumpa tunda?.
Karne hii visa vingi kweli kweli, inawezekana mshafiana nyie kimoyo moyo unataka kuhalalisha tu hapa.
Why don't u block his number? kwani simu yako haina hiyo tekonolojia ya kuzuia "scammers?".Unataka aendelee kukutumia ujumbe na kukupigia simu ili umpe muda wa kumfikiria?..kama mlikutana kwenye starehe na kubadilishana namba unaacha maswali mengi kweli hapa ambayo hayana majibu...
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.
Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??
Ngojeni niwaambie, kuna watu huku wamenitukana called me stupid some said kama si ufuska i shouldnt have given out my number and shit of that kind. na kwamba kisa nilikutana naye sehemu za starehe basi it potrayed tabia yangu.
You cant judge mtu kwa sababu alienda kupata starehe iwe bar/pub/disco au popote tu pale. that really sounds absurd......
Pia, you cant judge mtu kwa sababu of how easily she/he gave the phone number. kwa sababu unakuta mtu umempa namba yako ya simu kwa good intentions wewe huna hili wala lile lakini yeye baadae huko sijui ni shetani anakuwa kamuingilia kwenye kichwa anaanza kukuvua nguo in his/her head. You see and this is a big problem (allow me to generalize) us women face everyday.
Kuna wengine wamesema i should just give it in nimpe what the mume wa mtu wants. ndo hapo infedility comes into the picture ndo maana wengine wansema infidelity is here to stay there is no doubt about that. surely kwa mambo kama haya its here to stay.
NN my dear good friend, i didnt take you serious kule pages za nyuma si unaelewa tena mimi na wewe damu damu au sio. no hard feelings whatsoever. so is to everyone around here.
Mume wa mtu sumu tena sumu mbaya sana naeza poteza pua kama nani kasema sijui kule jina limenitoka.
Haloo wewe siku zote mimi nilikuwa nadhani ushakuwa kumbe utoto bado unakusumbua. Yaani watu tena wengi tu wameongea weeeeeeeeeeee hapa kuhusu mgao wa namba za simu lakini wewe ndo kwanza kichwa kigumu kama nazi. Haya sasa endelea kugawa namba kama pipi kwa wanaume kama hujaishia kugawa tunda kama peremende.Give me a break Ngoshwe ina maana wewe hujawahi kukutana na msichana any place iwe hata kwenye starehe you had a chat mwishowe mkabadilishana namba za simu?? ina maana unakuw aunamtaka huyo msichana?? hakuna cha maswali ambayo hana majibu
Sijasema nawasiiliana naye kama umesoma between the lines
Nina simu ya kawaida haina hiyo huduma ya kublock number
I get you!!There one option
(1)Akipiga mpe boyfriend wako apokee amwambie facts about you!
(2)Mwambie mkutane uongee naye wewe face to face
(3)Je mazoea naye yaka waida then siku mwombe simu yake ujifanye unataka kutuma sms tafutajina la mkewangu,mydarling,honey,etc..ukipata mpigie mwambie wat is going on your husband!!
(4)Jenga mazoea na yeye kama mtu na rafiki but stick on ur track mwisho atazoea mpaka unamwita bfriend wako mnakaa wote itakuwa ndo dawa!!
(5)Usiusemee moyo kama unahisi anakufaa mpe his human been like you he has a feeling on you no matter ur married!!
(6)Thank you!
kubali usumbufu... badili namaba ya simu..!!kata mawasiliano nae!!
Nijuavyo mimi sisi wanaume mwanamke akisema NO kwa kumaanisha huwa tunajua, na akisema NO ya huku akimaanisha YES pia huwa tunajua!
Haina haja ya kubadilisha namba ya simu, isipokuwa ile NO yako iwe inamaanisha, na siyo ''unakataa kwa bega''!!!
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.
Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??
Jamani waume wa watu pia tunapenda kukanyaga nje kama kawa. Mpe baada ya muda ataacha
Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. Jirani yetu kuna dada flani tena shoga wa wife ameniganda ile mbaya. Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.