Mume wa mtu ananipa wakati mgumu

Mume wa mtu ananipa wakati mgumu

The most difficult thing to deal with is the heart when it's in love. Usijidanganye kuhusu hisia zako kwa jamaa coz u luv the guy. Cha kufanya hapo ni kukubali ukweli kuwa u will always be the other woman regardless of how sweet his words will be. He might love you so much but not enough to leave his wife for you.

Hapa inapaswa ufikiri kwa akili na si kwa nafsi maana nafsi ndio inayopenda na daima itakwambia unachotaka kusikia, itahalalisha hata vilivyo haramu. Ukitumia akili utagundua u deserve better than another woman's man. Haitokuwa rahisi kumsahau jamaa in a day or two, it will take days probably months to erase 5 years memories u had with him but u can erase him from ur life. Hatua ya kwanza epuka vitu vitakyokufanya umuwaze, kitendo cha kuruhusu msgs na calls daima kutakukumbusha uwepo wake na kutakupa udhaifu wa nafsi. Cut all kind of communication with him, it will be hard but it's doable.

Mioyo yetu ni kama spring ina stretch kadri ya unavyoweza kuvuta lakini ukiachia inarudi kwenye original form, right now u r stretched with the feelings for him but gradually with some effort u will return to the original form of not relying on him emotionally.

These are just my words and views I don't know better of how you feel than u do so all the best in dealing with the matter just remember a heartbreak never kills it just makes you stronger.
Well said. Mungu amsaidie aelewe zaid; yan kuwa second hand me hate it kwakwel; ajitahid ajue value yake; Neema ya Mungu imsaidie cz its hard bt kwa Mungu hakuna kigumu.
 
I'm a man and I probably would have supported a fellow man but in reality our hearts were created to love only one woman and that is the woman that we call a wife. Lakini moyo huo huo umeumbwa na tamaa ya kutaka kila kilicho kizuri na kuibadilisha tamaa hiyo kuiita mapenzi. Mapenzi daima huwa ni matakatifu na ndo maana ndoa zinafungwa misikitini na makanisani lakini tamaa ni haramu na ndo maana zinafanyiwa bar na guest houses na huwa kwa kificho. Point yangu ni kuwa utakatifu daima utashinda mbele ya tamaa.
 
i
I'm a man and I probably would have supported a fellow man but in reality our hearts were created to love only one woman and that is the woman that we call a wife. Lakini moyo huo huo umeumbwa na tamaa ya kutaka kila kilicho kizuri na kuibadilisha tamaa hiyo kuiita mapenzi. Mapenzi daima huwa ni matakatifu na ndo maana ndoa zinafungwa misikitini na makanisani lakini tamaa ni haramu na ndo maana zinafanyiwa bar na guest houses na huwa kwa kificho. Point yangu na kuwa utakatifu daima utashindwa mbele ya tamaa.
watu hawataki kuukubali ukweli, hii miili imeumbwa na tamaa, usipokua na hofu ya Mungu ndani yako lazima uanguke, lazima ucheat, lazima ufanye matendo mabaya kusingizia et mwil umenisukuma, i agree with u, every human being has one heart and in our heart we should love one person dearly and unconditionally, hao wengine tunaodai tunawapenda hatuwapend bali tunawatamani, tamaa ikiisha unarud kwa unayempenda. ndio maana hata ukimuuliza mwanaume anaweza panga list mia bt kuna one woman ndio favorite woman kwake kiasi kwamba atazurura lakin pale lazima atie timu,
ooh MUNGU linda vizazi vyetu.
 
Amen
 
Kwamba wewe una nini cha ziada... !!?? huyo jamaa lofa
 
Niko kwenye mahusiano na mtu Kwa muda wa miaka 5 sasa. Mwanzoni aliniambia hajaoa na alikuwa anaishi hotel Kwa Sababu alihamishiwa mkoa nilipo Kikazi akitokea mikoa ya kanda ya ziwa.

Sana Sana katika mapenzi yetu niligundua Ni mtu anayejiheshimu Sana hata Kama alikuwa anapretend basi alipretend Kwa kipindi kirefu mno
Baadae alipata nyumba na tukaendelea yeye kwake na Mimi nikiwa kwangu na Mara moja moja tulilala kwake naye kulala kwangu miaka mitatu style ilikuwa hii

Nilimwambia wazi kuwa sina mpango wa kuolewa tangu nilipozalishwa mtoto na baba mtoto wangu kula kona si kutaka tena kuolewa Kwa sasa hivyo awe anajua kuwa siko katika mambo ya mipango na ndoa nayeye

Tulipendana Sana na heshima juu yetu ilishamiri. Mwaka wa nne wa mahusiano yetu alikuja kwangu siku moja akaniambia weekend twende Zanzibar me nikamwambia siwezi Kwa kuwa nitakuwa kazini akasema no no lazima niwe Nawe Zanzibar fanya uwezavyo

Ikabidi ofisini niwapelekee Report fake nikaenda Zanzibar huko jamaa yangu alionekana mkimya na mwenye mawazo Sana

Akatoa Pete mfukoni akaiweka mezani me tena macho yakanitoka Pete yandoa wala sio engagement akasema unaona hii Pete Ni yangu Mimi Ni Mume wa mtu samahani nimekaa Nawe sikuwahi kusema haya Kwa Sababu nakupenda Sana tens Sana sitaki kukukosa na sitakubali kukukosa maishani mwangu

Niliganda Kama nusu hasira zikanipanda wivu ukanikaba japo sikuwa na mpango wa kuolewa lakini Kwa jinsi trend ilivyokuwa inakwenda nilianza kufikiria tukifika miaka 7 ya mahusiano hakika atanibadili mawazo na naweza kuwa mkewe

Ndugu zangu na hata wazazi wangu wameshamuona kukitokea matukio ya mkusanyiko kwetu na upande wao pia Mara kadhaa nimeshaenda japo sio Mara nyingi ila kuna misiba na sherehe Fulani tulishiriki pamoja japo anabeba tabia zile za private life so nimemzoea hivyo hata wakati wa sherehe na misiba ya kwao hatukuwa jirani saana kiasi cha watu kuunga dots me niliona Ni kawaida yake na vile huwa simind kukabana na mtu Kama watoto wadogo mapenzini so sikuweza kugundua kuwa yeye anaprevent nini.

Turudi Zanzibar sasa pale alinibembeleza Sana kiukweli simkumsikiliza maombi yake kawa laingia kushoto lachomokea kulia
Kauli yake ilinifanya kufa ganzi Ni kuniambia mkewe anakuja kuishi nae hapa na ameona Ni vema atafute nyumba ingine Kwa Sababu pale itakuwa Ni picha tofauti Kwa majirani waliotuzoea Kama wapenzi

Nikamwambia sawa nashukuru nakutakia maisha mema he started crying na kubembelezaaa weee nikamwambia nipe muda maana akili yangu haiko sawa kabisa

Tukarudi Safari yetu kweli ilikuwa ya simanzi huku moyoni nikijiambia Mimi na yeye basi japo naumia ila Ni bora nimuache tu Kwa kweli

Nikakaa week moja huku nimeacha mawasiliano yawe upande mmoja wa yeye kunitafuta Mimi. Akaja kwangu one evening ameshakonda na kupungua ya kutosha kabisa akaniambia week ijayo mkewe anakuja nikamwanbia sawa akawa Kama anaishiwa maneno maana me jibu langu lilibaki sawa . Hata Mimi nilikonda pia Kwa Sababu jambo hili lilikuwa sio je je pesi kabisa.

Akaendelea kuja kwangu Sana hata baada ya mkewe kufika na tuakenda hivyo hivyo Hadi ukiingia mwaka huu wa tano . Ila Ni mapenzi tofauti na mwanzo . Akaanza kujitahidi kugharamia assets akaninunulia viwanja viwili na gari yangu akaniambia niuze niagize ingine aka ongeza pesa juu nikaagiza akaenda kulipa ada ya mtoto wangu shuleni Kwa miaka mitatu mbele vitu ambayo hajawahi kufanya kabisa tena Kwa majina yangu hizo asset amezinunua na kunikabadhi nyaraka zote na nilikuwa nazifuatilia mwenyewe . Ni hivi juzi tu nimetoka kuchukua nyaraka ya kiwanja kimoja wapo

Last week alikuja kwangu jioni Mimi nilichelewa kutoka kazini basi nikamkuta kakaa na mwanangu anamsaidia kumalizia home works baadae akapokea simu akaongea kilugha kisha akamaliza akaweka simu pembeni tukaendelea na mazungumzo yetu Mimi na yeye akaaga na kuondoka alisema mke hajisikii vema hivyo amemwambia ende hospital atamkuta huko ikawa bye

Kesho yake asubuhi akapiga simu saa 11 asubuhi akasema kuna tatizo Kumbe Jana alipo malizia kuongea na simu hakuikata so mke wake amefaidi mazungumzo yetu tano yake Kwa hiyo bomu baya limelipuka on my side nikaona haya mambo Ndio siyataki kabisa hii Ni Sababu muafaka ya Mimi kuachana nae for good

Mwanaume akasema usiwa na wasiwasi I'll handle situation me nikabaki na hasira moyoni mwangu cause I need a free man sio Mume wa mtu kila napofikiria kuachana limoyo langu linanisaliti . Nikaacha kupokea simu zake na nikablock namba yake kabisa Kwa kuanzia tu

Akaja akabembeleeza Sana akalia akasema yale yale Maneno ya Zanzibar kuwa hakubali kunikosa. Nikamwambia anipe nafasi na muda wa miezi miwili hivi ili nifikirie akasema miezi miwili mingi nikamwambia msimamo wangu Ni huo akaondoka zake Kwa makubaliano ya mawasiliano ya Mara moja moja Kwa simu ila asije kwangu wala sitaki kukutana nae popote . Nilichofanya nika unblock namba yake ili aweze kupiga na kutuma text

Wana JF Leo nimeamka asubuhi Ni siku 7 tu tangu tukwaruzane na kupeana time and space nakutana na message

"Hello baby , nimemwambia wife everything about us Kwa Sababu sitaki kukukosa please baby don't panic"

Jamani wanaJF hii message yaleo asubuhi imegeuza ulimwengu totally completely nifanyejeee
 
Mume wa mtu Ni wa mtu Tu, usiangalie sahi

Sahiv Ana hela je akija kufilisika Si atabebana Na mke wake kaa pending dada, usimwangalie yeye jiangalie wewe Na nafsi yako Na maisha yako ya baadae.
 
Unataka mtu ambaye hajaoa na huku hutaki kuolewa sasa akitaka kuoa inabidi akuache nawe utafute mwingine utakuwa katika hali hiyo hadi lini.........fanya maamuzi kuolewa au kuwa mchepuko

WEE NI BOOOONGE LA JINIASI...UMEIONA HIYO EHEEE?...

NILIKUWA NAMFIKIRIA SANA HUYU BI-DADA ANATAKA NINI HASA KWENYE MAHUSIANO YAKE...HATAKI NDOA YET ANATAKA MPENZI ASIYE NA MKE?...HAIWEZEKANI..KWA KUKATAA NDOA TAYARI INAONYESHA ANAHITAJI KUWA MCHEPUKO WA MTU FULL STOP...

TENA AMSHUKURU MUNGU UMEMPATA BWANA MBWIGA FULANI ANAMNUNUNULIA MPAKA VALUABLE ASSETS JAPO ANAJUA HANA FUTURE NA YEYE.
 
Ukizalishwa unakuja mbio hoo nimetendwa tafuta wako simple mind weee huoni kinyaaa kula ya mwenzio..
 
Itafika mahali tutarudi zama za mababu zetu. Midume ya kiafrika kuwa na mpenzi mmoja ni ngumu, sijui ni suala la genes.
Kwani wazungu wanaweza kuwa nampenzi mmoja au bado u utumwani kifikra mkuu.
 
Mkuu hata sikuwa nafikiria position ya wazungu wakati naandika hiyo comment. Kwahiyo labda wanaweza au hawawezi hiyo ni shauri yao.
 
Niko kwenye mahusiano na mtu Kwa muda wa miaka 5 sasa. Mwanzoni aliniambia hajaoa na alikuwa anaishi hotel Kwa Sababu alihamishiwa mkoa nilipo Kikazi akitokea mikoa ya kanda ya ziwa.

Sana Sana katika mapenzi yetu niligundua Ni mtu anayejiheshimu Sana hata Kama alikuwa anapretend basi alipretend Kwa kipindi kirefu mno
Baadae alipata nyumba na tukaendelea yeye kwake na Mimi nikiwa kwangu na Mara moja moja tulilala kwake naye kulala kwangu miaka mitatu style ilikuwa hii

Nilimwambia wazi kuwa sina mpango wa kuolewa tangu nilipozalishwa mtoto na baba mtoto wangu kula kona si kutaka tena kuolewa Kwa sasa hivyo awe anajua kuwa siko katika mambo ya mipango na ndoa nayeye

Tulipendana Sana na heshima juu yetu ilishamiri. Mwaka wa nne wa mahusiano yetu alikuja kwangu siku moja akaniambia weekend twende Zanzibar me nikamwambia siwezi Kwa kuwa nitakuwa kazini akasema no no lazima niwe Nawe Zanzibar fanya uwezavyo

Ikabidi ofisini niwapelekee Report fake nikaenda Zanzibar huko jamaa yangu alionekana mkimya na mwenye mawazo Sana

Akatoa Pete mfukoni akaiweka mezani me tena macho yakanitoka Pete yandoa wala sio engagement akasema unaona hii Pete Ni yangu Mimi Ni Mume wa mtu samahani nimekaa Nawe sikuwahi kusema haya Kwa Sababu nakupenda Sana tens Sana sitaki kukukosa na sitakubali kukukosa maishani mwangu

Niliganda Kama nusu hasira zikanipanda wivu ukanikaba japo sikuwa na mpango wa kuolewa lakini Kwa jinsi trend ilivyokuwa inakwenda nilianza kufikiria tukifika miaka 7 ya mahusiano hakika atanibadili mawazo na naweza kuwa mkewe

Ndugu zangu na hata wazazi wangu wameshamuona kukitokea matukio ya mkusanyiko kwetu na upande wao pia Mara kadhaa nimeshaenda japo sio Mara nyingi ila kuna misiba na sherehe Fulani tulishiriki pamoja japo anabeba tabia zile za private life so nimemzoea hivyo hata wakati wa sherehe na misiba ya kwao hatukuwa jirani saana kiasi cha watu kuunga dots me niliona Ni kawaida yake na vile huwa simind kukabana na mtu Kama watoto wadogo mapenzini so sikuweza kugundua kuwa yeye anaprevent nini.

Turudi Zanzibar sasa pale alinibembeleza Sana kiukweli simkumsikiliza maombi yake kawa laingia kushoto lachomokea kulia
Kauli yake ilinifanya kufa ganzi Ni kuniambia mkewe anakuja kuishi nae hapa na ameona Ni vema atafute nyumba ingine Kwa Sababu pale itakuwa Ni picha tofauti Kwa majirani waliotuzoea Kama wapenzi

Nikamwambia sawa nashukuru nakutakia maisha mema he started crying na kubembelezaaa weee nikamwambia nipe muda maana akili yangu haiko sawa kabisa

Tukarudi Safari yetu kweli ilikuwa ya simanzi huku moyoni nikijiambia Mimi na yeye basi japo naumia ila Ni bora nimuache tu Kwa kweli

Nikakaa week moja huku nimeacha mawasiliano yawe upande mmoja wa yeye kunitafuta Mimi. Akaja kwangu one evening ameshakonda na kupungua ya kutosha kabisa akaniambia week ijayo mkewe anakuja nikamwanbia sawa akawa Kama anaishiwa maneno maana me jibu langu lilibaki sawa . Hata Mimi nilikonda pia Kwa Sababu jambo hili lilikuwa sio je je pesi kabisa.

Akaendelea kuja kwangu Sana hata baada ya mkewe kufika na tuakenda hivyo hivyo Hadi ukiingia mwaka huu wa tano . Ila Ni mapenzi tofauti na mwanzo . Akaanza kujitahidi kugharamia assets akaninunulia viwanja viwili na gari yangu akaniambia niuze niagize ingine aka ongeza pesa juu nikaagiza akaenda kulipa ada ya mtoto wangu shuleni Kwa miaka mitatu mbele vitu ambayo hajawahi kufanya kabisa tena Kwa majina yangu hizo asset amezinunua na kunikabadhi nyaraka zote na nilikuwa nazifuatilia mwenyewe . Ni hivi juzi tu nimetoka kuchukua nyaraka ya kiwanja kimoja wapo

Last week alikuja kwangu jioni Mimi nilichelewa kutoka kazini basi nikamkuta kakaa na mwanangu anamsaidia kumalizia home works baadae akapokea simu akaongea kilugha kisha akamaliza akaweka simu pembeni tukaendelea na mazungumzo yetu Mimi na yeye akaaga na kuondoka alisema mke hajisikii vema hivyo amemwambia ende hospital atamkuta huko ikawa bye

Kesho yake asubuhi akapiga simu saa 11 asubuhi akasema kuna tatizo Kumbe Jana alipo malizia kuongea na simu hakuikata so mke wake amefaidi mazungumzo yetu tano yake Kwa hiyo bomu baya limelipuka on my side nikaona haya mambo Ndio siyataki kabisa hii Ni Sababu muafaka ya Mimi kuachana nae for good

Mwanaume akasema usiwa na wasiwasi I'll handle situation me nikabaki na hasira moyoni mwangu cause I need a free man sio Mume wa mtu kila napofikiria kuachana limoyo langu linanisaliti . Nikaacha kupokea simu zake na nikablock namba yake kabisa Kwa kuanzia tu

Akaja akabembeleeza Sana akalia akasema yale yale Maneno ya Zanzibar kuwa hakubali kunikosa. Nikamwambia anipe nafasi na muda wa miezi miwili hivi ili nifikirie akasema miezi miwili mingi nikamwambia msimamo wangu Ni huo akaondoka zake Kwa makubaliano ya mawasiliano ya Mara moja moja Kwa simu ila asije kwangu wala sitaki kukutana nae popote . Nilichofanya nika unblock namba yake ili aweze kupiga na kutuma text

Wana JF Leo nimeamka asubuhi Ni siku 7 tu tangu tukwaruzane na kupeana time and space nakutana na message

"Hello baby , nimemwambia wife everything about us Kwa Sababu sitaki kukukosa please baby don't panic"

Jamani wanaJF hii message yaleo asubuhi imegeuza ulimwengu totally completely nifanyejeee
Kwa sababu hutaki kuolewa huyo anakufaa kwa kuchepuka. Endelea
 
Wivu tu unakusumbua,we si umesema huna haja ya kuolewa tena?? Sasa kijiba cha roho kinatoka wapi??kwanza shukuru hata kanunua assets na kusomesha mtoto,single mother wengi waga tunapitaga speed 180 shaaaaa,kwenye kona ni handbrake na mafuta kwa wingi,watoto wa mjini wanaitaga kudrift
 
Sijawahi kuona watu wanao pendana kama ninyi.
Ama kwa hakika mshikilie huyo jamaa, na usiogope wala usiwaze kuhusu mkewe, saaaana jihesabu kama mkewe wa pili na jitahidi uzoee hivyo.
Nikiunganisha maelezo yako yooote naona kabisa jamaa anakupenda kwa dhati, sema inawezekana alijikuta ameoa mke ambae badae aligundua hampendi na pengine ipo shida kwenye ndoa yake, na kwakua umesema kwamba ni mtu wa kupenda maisha ya usiri basi inawezekana aliamua tu kuishi na mkewe na asiyaseme matatizo yao nje kwa kupenda kutunza usiri.
Kimtazamo jamaa anakupenda kuliko anavyo mpenda mkewe.
Nawewe nikiyasona maandishi yako, naona yamejawa narangi ya mihemko ya wivu na donge la jakamoyo....[emoji12] [emoji12]
Ebu tulizana mama ufanye maisha aiseee.....
Kwanza bora hata huyo mume wa mtu anae kupenda kwa dhati kuliko single kaka atakae kupanga kama gari bovu.
Ebu ngoja niishie hapa aiseee..
You said it all comrade.. Dada huu ndio ushauri maridhawa kabisa. Ndoa ni ngumu, ndoa ni nita na mateso haswa ukiwa na mtu ambaye sio chaguo lako. I bet the guy loves you for sure..go for it. Love him likewise.

Swala la ndoa ni formalities tu. Follow your heart. Hakuna mwanamme wa kukupa hizo assets na hiyo caring. Wish to get a feedback that u r together again. God Bless.

Goodluck Mshana
 
Duhh.....[emoji15]
Mkuu, umenichanganya kabisa hasa na hii lugha ilio letwa na majahazi aiseeee....[emoji12]
Lakiniki nimeku Like
 
Ningefanyaje..... Naye alikua karibu nami... Naukumbuka tu mwimbo wa Ben Paul
 
unahisi MUNGU ataamua nini hapo akimshirikisha, hata mkewe wa ndoa ana lia na Mungu juu ya hilo tatizo, Mungu wetu ni wa haki , lazima mwenye ndoa apate haki yake, mume atarud tu kwa mkewe, umemshauri asimuache, halafu amshikirishe Mungu, unataka dada wa watu achanganyikiwe, MUNGU anaweza kwanza sio anaweza atasema amuache, na wakati yeye moyoni hataki kuukubali ukweli, inabid a let it go for gud, hayo manyumba, sijui gari atavipata tu, Mungu wetu ni tajiri bwana, akimtoa kule atampa vingine kwa njia nyingine ambayo ni ya haki, ukisema uufuatishe mwil katika kila kitu aisee tutaikosa mbingu.
Nimekupenda ghafla,Mungu uliye juu naiombea ndoa ya huyu mwanaume aliyetekwa Na roho ya uzinzi,sikiliza kilio na huzuni ya mwenye mme maana neno lako linasema alichokiunganisha Mungu binadamu asikitenganishe.
 
i

watu hawataki kuukubali ukweli, hii miili imeumbwa na tamaa, usipokua na hofu ya Mungu ndani yako lazima uanguke, lazima ucheat, lazima ufanye matendo mabaya kusingizia et mwil umenisukuma, i agree with u, every human being has one heart and in our heart we should love one person dearly and unconditionally, hao wengine tunaodai tunawapenda hatuwapend bali tunawatamani, tamaa ikiisha unarud kwa unayempenda. ndio maana hata ukimuuliza mwanaume anaweza panga list mia bt kuna one woman ndio favorite woman kwake kiasi kwamba atazurura lakin pale lazima atie timu,
ooh MUNGU linda vizazi vyetu.
Amen pia Mungu alinde ndoa ya huyu Mama aikumbuke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom