Mume vs mke

ummu kulthum

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
2,784
Reaction score
1,317
kuna ndoa moja inapenda sana tena saaaaaaan mazadi kila kukisha siku moja ikwa hivi na ndoa ikaingia ndoa

mke:kaenda dukani kumnunulia mumewe nguo za ndani zinazofanana
mume:asante mke wangu kwa zawadi kaanza kuzingua zote zinafafana,mkewangu mbona hizi zinafafa sana si watajua kuwa sibadilishani
mke:wakina nani hao watakao kuona hubadilishangi?msala mie sipo
 
mh!!!hapo kabambwa!!
sema kiswahili chako na mpangilio ni shida!!
 
English........mh!!!!!!!! Hata kiswahili nacho, au ulikuwa mnashindana na mtu kupost hii thread
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…