weye hutaki kuwazalia wanaume wenzie wajao wake kama wewe walivyokuzalia mke? usiwe na ubaguzi huo mkuu, halafu mungu watu kama wewe wabaguzi ndio anawaleteaga wale wale usiowatakaAyayayayayayaaaa!
Haki ya mama! Nitafraize mtoto wangu wa mwanzo akiwa Jembe!
Hata wote wakiwa me poa tu!
But mutoto ya mwanzo tu ke! Ooppss! Bonge la dissapoitment kwa keli!
na adabu njema inapaswa kujengwa na wewe mzazi,Awe wa kiume au wa kike cha muhimu awe na adabu nzuri kwa familia na jamii iliyotuzunguka. Hayo ya propaganda watajua wenyewe waliopitwa na wkt wenye akili zilizodidimia.
tunabadilisha nini? maana hakuna binadamu anayepanga jinsi ya motto anayezaliwa
Poleni wanajamvi,leo nimekuja na mjadala hapa wa mzazi wa kiume kutopenda uzao wake wa kwanza uwe wa Kike na hii kasumba ipo kwa wanaume weng sana ukubali ukatae jibu ni ndio,hata pindi mke anapokua mjamzito mwanaume ataanza utabiri wa mtoto wa kiume tena na kumpa jina kabisa na si wa kike.
Sasa mimi najiulizaga kwanini mtoto wa kiume anapewa nafasi kubwa sana kuliko wa Kike?
Kama wewe ungependa mtoto wako wa kike awe ndo first born?
Hebu tujadili tubadilishe hii kasumba.
mfumo unamafanya mwanamme kupenda uzao wake wa kwanza uwe wa kiume kwa kuwa hamna utamaduni wa mtoto wa kike kuridhi
Poleni wanajamvi,leo nimekuja na mjadala hapa wa mzazi wa kiume kutopenda uzao wake wa kwanza uwe wa Kike na hii kasumba ipo kwa wanaume weng sana ukubali ukatae jibu ni ndio,hata pindi mke anapokua mjamzito mwanaume ataanza utabiri wa mtoto wa kiume tena na kumpa jina kabisa na si wa kike.
Sasa mimi najiulizaga kwanini mtoto wa kiume anapewa nafasi kubwa sana kuliko wa Kike?
Kama wewe ungependa mtoto wako wa kike awe ndo first born?
Hebu tujadili tubadilishe hii kasumba.
Kwanini jembe na si Mpini?
je kina mama pia huwa wanapenda mtoto wa kwanza awe wa jinsia fulani?