Mume na mtoto wa Kike.

Sioni cha kujadili hapa zaidi kuna watu humu jamvi muda ndani ya ndoa ni mia minne na zaidi bila mtoto leo mnaongelea jinsia ?

Ni kama mnakufuru hakika,mtoto ni zawadi toka kwa Mungu .
you have made a point
 
Wa kwanza akiwa kidume nitafurahi zaidi ingawa yeyote nitashukuru Mungu tu! Wengi tunafikra kuwa mtoto wa kiume ataendeleza jina la ukoo(la kwangu) maana mwanamke anapoolewa hupoteza jina la kwao na kuchukua la ukweni. Mimi binafsi sijui ni kwasababu gani hasa lakini i think i will be proud to introduce kidume kama firstborn wangu mbele ya ndugu na jamaa zangu.

Lakini kuna tabia nyingine pia nimeiona kuwa mtoto wa kike kwenye familia huwa anakuwa rafiki zaidi wa baba na wakiume rafiki zaidi wa mama sijui hili pia mnalizungumziaje wadau?
 
mi naona mtoto ni mtoto tu kwani kuna wengine wanahangaika kila kukicha kutafuta hata wa kike wasiotakiwa na hawawapati....ni kumshukuru M

Hii ni sawa na ile mtu analalamika kwamba kapewa kiatu kibaya wakati mwenzie hana hata mguu wa kukivalia hicho kiatu.
 
Back
Top Bottom