Mume: Mimi ninakushangaa sana mke
wangu; kila mara unasema ooooh gari yangu,
mara watoto wangu, mara chumbani kwangu
n.k. "Nimeshakwambia wewe na mimi ni mke
na mume; kwa hiyo unatakiwa kusema,
nyumba yetu, gari letu, watoto wetu,
chumbani kwetu n.k." "Hivi unanisikia? maana
muda wote huu navyoongea wewe uko bize
kwenye kabati la nguo, unatafuta nini humo?"
Mke: "Ninatafuta sidiria yetu mume wangu."
Boflo naomba siku moja nikuone USO KWA USOMume: Mimi ninakushangaa sana mke
wangu; kila mara unasema ooooh gari yangu,
mara watoto wangu, mara chumbani kwangu
n.k. "Nimeshakwambia wewe na mimi ni mke
na mume; kwa hiyo unatakiwa kusema,
nyumba yetu, gari letu, watoto wetu,
chumbani kwetu n.k." "Hivi unanisikia? maana
muda wote huu navyoongea wewe uko bize
kwenye kabati la nguo, unatafuta nini humo?"
Mke: "Ninatafuta sidiria yetu mume wangu."
Madame X mbona unaonesha maumbile yetu hadharani bhana...kweli, wapo wanaovaa sidiria kama hawa lazima muazimane sidiria
Hili kweli ina mfaa Boflo. Boflo njoo huku umeletewa zawadi na ndugu yako. Sijui yuko wapi huyu naye kwa kutoroka nyumbani.Boflooooooooo........