Mume na mke wa mtu toa ushuhuda huu.

Mume na mke wa mtu toa ushuhuda huu.

Nilikuwa ki ben 10 cha mtu mwaka 2006 nikawa najiona mjanja sana ila sasa huwa nawaza sijui wife wangu naye ana kiben 10 huko mtaani ila najisemea na kumuomba isitokee kwa mke wangu hiyo kitu.
ukila vya mwenzio lazima vtako vitaliwa hiyo ndio fomula ya maisha
 
Teh teh teeeeeeh!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom