Mume na mke wa mtu toa ushuhuda huu.

Mume na mke wa mtu toa ushuhuda huu.

binjo

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2016
Posts
2,115
Reaction score
1,264
Kumekuwa na vijana wenyewe wanajiita vi Ben 10 kutwa kujisifu kuwa wake za watu watamu.

Ikiwa na maana wake za watu mnachepuka sana kama si kidogo.

Sasa basi ebu toeni aibu tuambieni ukweli waume zenu ni nini mnafwata huko kwa viben10?

Je siku mumeo akikubamba ni hatua gani ya kwanza utaichukua?


Mwanaume mwenzangu ebu unguruma kama simba ulishawahi mfumania mkeo?

Ni hatia gani ulichukua kwa mkeo na mgoni wako.


KARIBUNI WAPENZI WA JUKWA HILI.
 
Nachinjia baharin shwaainnn
 
Akikutwa hapo mimi binafsi abaki hapo hapo aendelee kuishi atakuwa amesaidia usalama wa wanangu kuliko akajaribu kuludi nymbn tutagawana majengo ya serekari na kwakuwa nilisha mueleza hayo sina shaka yeye pia anajua hukumu yake
 
Dawa/Malipo ya Usaliti ni Mauti tu...!

Hivi ndivyo tulivyo fundishwa JESHINI..
 
Nilikuwa ki ben 10 cha mtu mwaka 2006 nikawa najiona mjanja sana ila sasa huwa nawaza sijui wife wangu naye ana kiben 10 huko mtaani ila najisemea na kumuomba isitokee kwa mke wangu hiyo kitu.
 
Nilikuwa ki ben 10 cha mtu mwaka 2006 nikawa najiona mjanja sana ila sasa huwa nawaza sijui wife wangu naye ana kiben 10 huko mtaani ila najisemea na kumuomba isitokee kwa mke wangu hiyo kitu.


Vipi Mkuu mkeo hana Moyo unaosukuma damu?
 
Ni mwezi sasa nimemaliza mkataba wakuwa ki Ben ten wa mkurya fln hivi baada ya basha wake kutustukia.

Nimeponea chupuchupu ila sinto sahau aiseee
 
Ukigongewa na unasiyemjua na umewabamba haiumi Mkuu.
Kugongewa Kugongewa tu iwe unamfahau au humfahamu ni Kugongewa suala umewakuta ukajilizisha kuwa kitendo kimefanyika sihitaji kushauriwa waendelee tu kwangu hakuna nafasi yake tena
 
Nilikuwa ki ben 10 cha mtu mwaka 2006 nikawa najiona mjanja sana ila sasa huwa nawaza sijui wife wangu naye ana kiben 10 huko mtaani ila najisemea na kumuomba isitokee kwa mke wangu hiyo kitu.
Usione vibaya nawe kugongewa utakuwa unalipa deni tu nawe uwe mvumilivu kukiliwa kwa mwali na kwa kungwi kuliwe
 
Kumbe vijana mnagonoka na wake za wenzenu ila ikifika kwenye hima zenu hadi mnaapa kuua mtu.

Haaa haaa haaa Haaaa
 
Mimi siku nikimfuma au hata kupata ushahidi usio na shaka kuwa anafumulia sehemu simpigi wala kumgusa bali namwambia achague kila anachokipenda akaanze maisha mapya.

Kama watoto nitalea vizuri tu.

Wanawake wakiwa kwenye ndoa ndipo hutamaniwa huko nje lakini akitimulia hapo biashara ishamkata,atakuwa cha wote tu labda awe hajazaa au atafute mzee flani aliyeachana au kufiwa na mkewe.
 
Naona wasichana wachukuliwao na waume za watu siku hizi wamejifunza kula na vipofu. Siku hizi ni nadra sana
kusikia stori zao labda wawe bongo movie. Tatizo hao vi-ben 10 bado hawajajifunza kula na vipofu. Wakijifunza haya
mambo yatakuwa kama zamani yaani "kuchapiwa siri ya ndani" na hakuna kitakachoharibika...
 
Kumekuwa na vijana wenyewe wanajiita vi Ben 10 kutwa kujisifu kuwa wake za watu watamu.

Ikiwa na maana wake za watu mnachepuka sana kama si kidogo.

Sasa basi ebu toeni aibu tuambieni ukweli waume zenu ni nini mnafwata huko kwa viben10?

Je siku mumeo akikubamba ni hatua gani ya kwanza utaichukua?


Mwanaume mwenzangu ebu unguruma kama simba ulishawahi mfumania mkeo?

Ni hatia gani ulichukua kwa mkeo na mgoni wako.


KARIBUNI WAPENZI WA JUKWA HILI.
ukikuta mke wako ana pigwa nawe piga. ili huyo anaye mfata mkeo ajifunze kuwa dawa ya moto ni moto
 
mke anauma jamani.......hili sitii neno hapa.....acha lipite.....
 
Back
Top Bottom