Mume na mke kuwa room mates

Kuna majirani wamezichapa leo balaa na kupelekana kituo cha polisi.Lakini ni watu walioonekana wanapendana vizuri sana.Sababu ni mwanamke kulala Nje bila taarifa
Hii iNasikitisha sana.. na imagine siku ikitokea kwangu sijui itakuaje?
 
Back
Top Bottom