Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,241
- 4,446
Kazi kweli kweli....!!!Kumbuka mwanamke ndo mwenye jukumu la kumfuata mwanaume hata kama kabla hujaolewa na ulikua na nyumba yako si busara kabisa siku ukiolewa mwanamme akakufuata kwenye nyumba yako huyo Dada inabidi aangalie kipi cha msingi familia au pesa