Mume na mke Bar

na jamaa zoba kweli, wew utaendaje bar unayong'oaga ma part time na waubani wako..acha tu cd amuharibie
 
Jamaa alikwenda Bar na mke wake wa ndoa,wakakaa kwenye viti, wakati wanasubiri vinywaji akapita binti mmoja anayejiuza akamsogelea yule mke wa jamaa akamnong'oneza " AKULIPE KABISA NI MGUMU KULIPA HUYOO!!......

Ayaaaaaa!! Amebumbulua dili huyu mrembo....!!
 
Jamaa alikwenda Bar na mke wake wa ndoa,wakakaa kwenye viti, wakati wanasubiri vinywaji akapita binti mmoja anayejiuza akamsogelea yule mke wa jamaa akamnong'oneza " AKULIPE KABISA NI MGUMU KULIPA HUYOO!!......

Kweli hapo majanga ila jamaa alikosea sana kumpeleka mke wake kwenye viwanja vyake vya madanguro
 
Kama mke mchaga itakuwa hivi,,,,

Safi sana baba, hakuna kutoa hela kirahisi ila usirudie tena....

Kwapa lazma liloe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom