salum mabura
Member
- Jun 16, 2013
- 67
- 5
big up kwa mwanauuuuume anabana matumizi kuhonga kwa mpango bana
Siku nyingine anakopa siyo?
big up kwa mwanauuuuume anabana matumizi kuhonga kwa mpango bana
Jamaa alikwenda Bar na mke wake wa ndoa,wakakaa kwenye viti, wakati wanasubiri vinywaji akapita binti mmoja anayejiuza akamsogelea yule mke wa jamaa akamnong'oneza " AKULIPE KABISA NI MGUMU KULIPA HUYOO!!......
hahahahahahahahaaaa hyo kali kweli huyu changu alifikiri na yule mke wa jamaa anajiuza ikabid amwambie achukue chake mapema,.yalaaaaaaaaa hahahahahaha te te te teee. TobaaaaMhhhh!!!!!
hahahahahahahahaaaa hyo kali kweli,, huyu changu alifikiri na yule mke wa jamaa anajiuza ikabid amwambie achukue chake mapema,.yalaaaaaaaaa hahahahahaha te te te teee. TobaaaaMhhhh!!!!!
hahahahahahahahaaaa hyo kali kweli,, huyu changu alifikiri na yule mke wa jamaa anajiuza ikabid amwambie achukue chake mapema,.yalaaaaaaaaa hahahahahaha te te te teee. TobaaaaMhhhh!!!!!
mke mwenyewe inaonekana ndo kazi yakendo uwanaume hapo unaonekana. Nke anajua kua kumbe mumewe hatoe hela ovyo. Mpaka kieleweke.