Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,

umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.

Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki

Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
nipo hapa PM me
 
We mdada una hatari wewe? Unataka mwanaume aliye tayari kulea mtoto wa mwanaume mwingine uliyempata kwa uzinzi halafu unajiita Mcha Mungu! Unamaanisha Mungu huyu huyu tunayemjua au mwingine? Nimecheka kimoyomoyo kwa kweli...
 
Mbona hijasema jinsia yako? Na wanaume wananyoosha tu vidole kuwa wapo angalieni msije mkaolewa maana ujasiri huo sio wa kike bali wa kiumeni kazuga tu na mpango wa kuzaa soon ... Hahahahaaaaa!

Hahaahaa wasije wakaniniii.....!!!!
 
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,

umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.

Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki

Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa

Hajazaliwa bado let's buy time together if don't mind
 
We mdada una hatari wewe? Unataka mwanaume aliye tayari kulea mtoto wa mwanaume mwingine uliyempata kwa uzinzi halafu unajiita Mcha Mungu! Unamaanisha Mungu huyu huyu tunayemjua au mwingine? Nimecheka kimoyomoyo kwa kweli...
Nadhani anatafuta wa kumchezea sio kumuoa
 
We mdada una hatari wewe? Unataka mwanaume aliye tayari kulea mtoto wa mwanaume mwingine uliyempata kwa uzinzi halafu unajiita Mcha Mungu! Unamaanisha Mungu huyu huyu tunayemjua au mwingine? Nimecheka kimoyomoyo kwa kweli...
Alivyojipendelea sasa. Katoa na mashariti kabisa "Anahitaji Mcha Mungu"
Huyo aliyempa mimba yuko wapi? Kujitunza ni jambo la muhimu sana
 
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,

umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.

Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki

Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Ingia maabara kamtengeneze tu Dada angu, afu weka picha yako hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom