Mume mwema na bora: Sifa na wajibu wake...

naomba mnijulishe, maana naona wengi sana ni feki, kabla ya ndoa wako hivi na baada ya ndoa wabadilika.

Mhmh na wewe bibie muda mwingine huwa unanipa majaribu sana na sred zako! sometimes yaonyesha upo single but sometimes upo well commited kwa jamaa, sasa mie unanichanganya sana coz unaomba ushauri wa sifa za kabla na baada ya ndoa zikusaidie nini wakati we hizo sifa unazijua? Ulishasema hapa outing mzee anakupa zanguvu nje na ndani ya nchi sasa sifa gani tena ya mume kukupenda amabyo wewe unaitaka?

Labda basi tukuuambie sifa mojawapo ukiolewa basi uwe unaiba iba siku moja moja nje kama mzee asugui vizuri, na kama bado hujaolewa basi ongeza mkorogo kwa wingi, usisahau mchina ili mkia uonekane kwa nyuma na vitu kama hivyo kuvutia wadau ili uolewe! Nimekujibu kulingana na jnsia yako ya mtoa sred!
 
Kupendana, kuwa marafiki na kusikilizana. MAKE SURE HUO URAFIKI WENU HAUFI, you will need it during the rain days. Kuvumiliana, kusameheana, the list is endlesss..... kusahau na kuzika mahawara!
 
Awe na moyo mpana wa kumpenda mumewe pia kama ukimpenda mume upende na jamii iliyomzunguka, awe mwaminifu, usiwe mchoyo , usafi nao muhimu
 
Kupendana, kuwa marafiki na kusikilizana. MAKE SURE HUO URAFIKI WENU HAUFI, you will need it during the rain days. Kuvumiliana, kusameheana, the list is endlesss..... kusahau na kuzika mahawara!

Yeah nzuri hii
 
Ok, nitajitahidi kuyazingatia haya mafunzo ili nije kuwa mume mwema.. Thanks Mama Joe
 
Kwanza kabisa jihadharini na wanaume wenye kidole cha katikati kirefu sana zaidi ya vingine (urefu uliopitiliza) ni wakatili sana na wauaji.
 
Kwanza lugha ya mvulana hutumia wasichana wale teenage so huwa sio nzuri kwa bint aliefikia mawazo ya ndoa neno hilo halina tofauti na msichana ndo maana nimelitumia hapo,ni vizuri ukatumia binti au kijana wa kike,halafu mbona umetoa sababu moja tu,anyway am lucky coz kidole changu sio kirefu,ila ungetoa maelezo ya kutosha juu ya hoja yako ingekuwa vizuri zaidi!
 
Yaaani sifa ni kidole tu waangalie? hakuna nyingine? jazia bwana kidogo NJ
 
Ooooh kumbe hivyo, mi wakati naanza kusoma nilifikiri kidole kikiwa kirefu sana kitakuumiza wakati wa ile mambo, kumbe ni hayo ya kudhania tu
 
Naz Naz Naaaaaaaz unatupeleka mbali sasa,vipi mwanaume akiwa na vidole vinene inaashiria nini?
 
hmmmmm...! imekula kwangu kama ni hivi, maana mi changu cha kati ni kirefu zaidi ya vingine..:A S 12:
 
Kwanza kabisa jihadharini na wanaume wenye kidole cha katikati kirefu sana zaidi ya vingine (urefu uliopitiliza) ni wakatili sana na wauaji.
Hongera mama umekuwa kungwi mzuri!! Kwa hali ilivyo mimi naona wewe ndo unanifaa hebu ni pm tuyaweke sawa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom