Mie kwa mtazamo wangu mume mwema ana sifa zifuatazo kwa uduuuchu,japo zipo sifa nyingine nyingi:-
1. Ametulia si macho juu juu kama nzi kila akionacho hata kichafu chaliwa.
2. Anajiheshimu,anamuheshimu mkewe, ndugu wa pande zote, watu wengine pamoja na majirani pia.
3. Mwenye huruma na mapenzi ya kweli kwa mke na familia kwa ujumla.
4. Mtunzaji wa familia na si bahili au mfujaji wa mali.
5. Mcha mungu, au mwenye utu.
6. Mchapa kazi,asiye kata tamaa, si mvivu na goi goi
7. Msaidizi, sio mke na jembe na kuni yeye kashika bakora anapunga mkono, shughuli zote za uzalishaji mali na utunzaji familia kamuachia mke.
8.Mwenye kupenda kujadiliana, sio amri ikitoka imetoka hata kama pumba zenye madhara mradi yeye kasema basi naibaki kuwa hivyo.
9. Mwenye kutimiza wajibu wake kwenye masuala ya unyumba, sio mume jina, "chakula" anakula barabarai mkewe anabaki na "njaa" ha ha ha lool!!
10. Mwenye kuona wivu kwa mkewe sio kila mtu basi ruhsa kula "chakula" nyumbani kwake ilimradi yeye kaoa basi kaolea jamaa na marafiki.
Na nyingi nyinginezo ndio zinatengeneza sifa za mume mwema, ametoka wapi kijijini au mjini hiyo sio ishu sana. wewe je wasemaje.
Yes mkuu, if u appear to be a nice guy, they treat u like a best friend while they go around to rude boys to have their hearts broken and come back to u again complaining that all men are so mean,,,,
Yes mkuu, if u appear to be a nice guy, they treat u like a best friend while they go around to rude boys to have their hearts broken and come back to u again complaining that all men are so mean,,,,
its because a lady doesnt want a nice guy who is like her puppy to play with,, they need a real man who knows how to lead and mostly that quality is acquinted to rude bwaays
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.