Mume Mwema Anapatikanaje?

Mume Mwema Anapatikanaje?

Kuwa mwema ili ujue wema gani unautafuta...Hiyo ndo njia rahisi ya kumpata
 
Inategemea na mikao yako !

Kanuni ni kupewa wa kufanana naye!

Ukiwa mwema utapewa mwema na kinyume chake ni sahihi!

Jifunze kwanza namna ya wewe kuja kuwa mke mwema!

Soma Biblia na Bible studies


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom