ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
- Thread starter
- #101
umenielewa kivipi bestito?
Aiseee! Nimekuelewa!
Aiseee! Nimekuelewa!
yani umenigusa sana na umenielimisha zaidi ya vile nililvyokuwa nafahamu asante sana kwa koment yako ubarikiwe sana tena sana na uzidishiwe wingi wa siku
Habarini bandugu marafiki zangu wote na wasio marafiki pia.
Naingia kwa ujio kama alivyokuja Raisi Obama kimkuku kuku na wakiana kwa leo wapendwa wangu
marafiki zangu ninaingia kiimani zaidi na ni vyema muelewe nilichoamua kukizungumzia hapa na sio
kufakamia bila hata kuelewa topic hii yasemaje: Kabla sijaenda mbele zaidi tazama picha hii hapa:
View attachment 100908 na hii View attachment 100909 hapa tena View attachment 100910 mwisho View attachment 100911
Kila mmoja wetu anajua kua Maandiko matakatifu yanavyosema sana jinsi ya kupata Mke kuliko Mume na maandiko maarufu ni kama-''Mithali18:22-''Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana'' na Mithali.31:10-''Mke mwema( Kiswahili imetumia neno moja tu .''Mwema'' lakini Kiingerea ktk Bible mbalimbali imetumia maneno mengi yenye nguvu ya ajabu na kushangaza kujua kumbe Mwanamke mtarajiwa kuwa Mke ni kitu kizuri na cha ajabu sana hasa aliyetoka kwa Bwana. Maneno yaliyotumika ni kama.'' wife of noble character'', ''capable'', ''intelligent'' ''virtuous woman'', ‘a competent wife'', ''worthy woman''), ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani. Tena Biblia ya King James na New King James ndizo zimetumia neno ''Virtuous woman'' ( notice: Ni woman!) na maana ya neno ''Virtuous'' ni ''good'', ''moral'', ''ethical'', ''upright'', ''honourable'', ''excellent'', ''pure'', ''worthy'', ''honest', ''righteous'', ''exemplary'', ''squeaky clean'', ''blameless'', ''praiseworthy'', ''incorruptible'', ''high-principled''), pia Mwanzo.24:1-67.
Katika Agano Jipya, tunakutana na neno kuchumbia au Mchumba wazi wazi ktk Luka.2:5 ingawa hatuambiwi Joseph (yusufu) alimpataje mdada Mary (Maria mama wa Yesu) Kwakua ni ivyo kwamba Bible imeongelea sana kuchumbia au Mchumba wazi wazi ktk Luka.2:5 ingawa hatuambiwi Joseph alimpataje mdada Mary. Kwakuwa ni ivyo kwamba Bible imeongelea sana kupata Mke mwema ambaye anapatikana tu kwa Bwana, mchumba bora je? anayepelekea mke mwema, tunampataje? kwa kizazi chetu cha leo cha DOT .COM ambapo hatuchanguliwi Wachumba/Wake zetu na wapendwa marafiki zetu, Viongozi wa Kanisa. Maparoko au Wazazi kama zamani, tunafanyaje kuwa salama?
Tutafanyaje kumpata mchumba mwema (mume) kwa kizazi hichi jamani na je kwanini haya maneno hayakuandikwa kwenye Bible? kwani sisi madada tunachanganyikiwa nami pia yameniconfuse mwenzenu kabisa wala sijaelewa, kwani Mume (Mwanaume) mwema hapatikani kwa Bwana? au ni versa vesa tu hapa.ambayo imewekwa, kwani hakuna wanaume wema wa kuolewa nao.? Ndo mana nimependa niwashirikishe jambo hili la kiimani tuchambue kidogo. kwani huwa nikisoma vifungu hivi vinanitatiza sana. Nakuwa sielewi kabisa my frendo. HAKUNA MWANAUME MWEMA TOKA KWA MUNGU?
Karibuni mabestito kwa uchambuzi zaidi hapa.
cc: Nicas Mtei, Ruttashobolwa, Erickb52, Mr. Rocky, Arushaone, Mtambuzi, Mamndenyi, lara 1,
stevoh, jouneGwalu, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi, Filipo, Liverpool, Passion Lady, charminglady, Paloma, Mentor, Heaven on earth, everln salt, gfsonwin, Lady doctor, Asprin, Madame B, Lucas, @Rular Swaga, Lyagwa, Ben Saanane, mimisa, na marafiki zangu wote jongeeni
nimekuelewa nawasubiri wataalaam waliobobea katika haya mavituuuz
ladyfurahia , I wish ningekuwa nakufahamu ila tatizo la JF ndio hili tunajadili nyuma ya kioo
ladyfurahia , I wish ningekuwa nakufahamu ila tatizo la JF ndio hili tunajadili nyuma ya kioo
kuachika sunna tena hujui mungu kakuepushia nini na alivyokuwa mwingi angekuua huyo
usijali kwa kumpata uwe mke mwema pia utakutana nae mume mwemaivi unakutana wapi na mume mwema?
Dada ladyfurahia, tatizo sio kukutana, tatizo ni dhumuni la kukutana ndio ishu, maanawengi wanakutana kwa mitazamo ya kimapenzi ila sio dhumuni jingine, tubadilike maisha sio mapenzi tu, maana unaweza ukawa msaada kwangu zaidi ya mpenzi, ok ila siwezi jua dhumuni la baadhi ya watu kuwemo humu, maana kunawatu humu hata wazo la kutongoza mtu walahalipo kabisa na kama ni pm ni za kawaida kabisa au sijui kuangalia avatar ya mtu. Pia ishu ya kukutana huwezi jua kila siku unakutana na watu wa JF wangapi au wengine unaishi nao nyumba moja sema tu humu tunatumia ID za uongo ila tukisema tuweke majina ya ukweli unaweza shangaa kuwa wakati mwingine unamjb hovyo kaka yako kabisaila naogopa nikionana na nyie mnatangaza na kuchafuana hapa jf kwani kuna mmoja jana ametoa thread ambayo alimsema mwenzie alilyekutana naye hapa ikawa ni soo kweli
Dada ladyfurahia, tatizo sio kukutana, tatizo ni dhumuni la kukutana ndio ishu, maanawengi wanakutana kwa mitazamo ya kimapenzi ila sio dhumuni jingine, tubadilike maisha sio mapenzi tu, maana unaweza ukawa msaada kwangu zaidi ya mpenzi, ok ila siwezi jua dhumuni la baadhi ya watu kuwemo humu, maana kunawatu humu hata wazo la kutongoza mtu walahalipo kabisa na kama ni pm ni za kawaida kabisa au sijui kuangalia avatar ya mtu. Pia ishu ya kukutana huwezi jua kila siku unakutana na watu wa JF wangapi au wengine unaishi nao nyumba moja sema tu humu tunatumia ID za uongo ila tukisema tuweke majina ya ukweli unaweza shangaa kuwa wakati mwingine unamjb hovyo kaka yako kabisa
Lol hii ni nafasi adimu sana, ngoja nijipige pamba za kutosha na unyunyu maana usije kunipiga dongo bure humu ndani mie sitaki kabisa, ngoja nikunong'oneza hapo ni karibu na kituo cha daladala? Mpesa, Tigo pesa, Zap zipo hapo? au bank jirani na hapo? maana kwenye pamba nimevunja kabati kabisakama kukutana tu usijali na kama uko dar njoo leo pale tupo hapa pub kwa akina Mtambuzi utanipata hapo jioni saa 12:00 jioni nitakuwepo wakaribishwa bestito
its good ideani vyema kama uko dar tuonane itakuwa vyema zaidi
husipende kufananisha akili za watu wawili tofauti kuwa moja, itakusumbua maishaniila naogopa nikionana na nyie mnatangaza na kuchafuana hapa jf kwani kuna mmoja jana ametoa thread ambayo alimsema mwenzie alilyekutana naye hapa ikawa ni soo kweli
Habarini bandugu marafiki zangu wote na wasio marafiki pia.
Naingia kwa ujio kama alivyokuja Raisi Obama kimkuku kuku na wakiana kwa leo wapendwa wangu
marafiki zangu ninaingia kiimani zaidi na ni vyema muelewe nilichoamua kukizungumzia hapa na sio
kufakamia bila hata kuelewa topic hii yasemaje: Kabla sijaenda mbele zaidi tazama picha hii hapa:
View attachment 100908 na hii View attachment 100909 hapa tena View attachment 100910 mwisho View attachment 100911
Kila mmoja wetu anajua kua Maandiko matakatifu yanavyosema sana jinsi ya kupata Mke kuliko Mume na maandiko maarufu ni kama-Mithali18:22-Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana na Mithali.31:10-Mke mwema( Kiswahili imetumia neno moja tu .Mwema lakini Kiingerea ktk Bible mbalimbali imetumia maneno mengi yenye nguvu ya ajabu na kushangaza kujua kumbe Mwanamke mtarajiwa kuwa Mke ni kitu kizuri na cha ajabu sana hasa aliyetoka kwa Bwana. Maneno yaliyotumika ni kama. wife of noble character, capable, intelligent virtuous woman, a competent wife, worthy woman), ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani. Tena Biblia ya King James na New King James ndizo zimetumia neno Virtuous woman ( notice: Ni woman!) na maana ya neno Virtuous ni good, moral, ethical, upright, honourable, excellent, pure, worthy, honest, righteous, exemplary, squeaky clean, blameless, praiseworthy, incorruptible, high-principled), pia Mwanzo.24:1-67.
Katika Agano Jipya, tunakutana na neno kuchumbia au Mchumba wazi wazi ktk Luka.2:5 ingawa hatuambiwi Joseph (yusufu) alimpataje mdada Mary (Maria mama wa Yesu) Kwakua ni ivyo kwamba Bible imeongelea sana kuchumbia au Mchumba wazi wazi ktk Luka.2:5 ingawa hatuambiwi Joseph alimpataje mdada Mary. Kwakuwa ni ivyo kwamba Bible imeongelea sana kupata Mke mwema ambaye anapatikana tu kwa Bwana, mchumba bora je? anayepelekea mke mwema, tunampataje? kwa kizazi chetu cha leo cha DOT .COM ambapo hatuchanguliwi Wachumba/Wake zetu na wapendwa marafiki zetu, Viongozi wa Kanisa. Maparoko au Wazazi kama zamani, tunafanyaje kuwa salama?
Tutafanyaje kumpata mchumba mwema (mume) kwa kizazi hichi jamani na je kwanini haya maneno hayakuandikwa kwenye Bible? kwani sisi madada tunachanganyikiwa nami pia yameniconfuse mwenzenu kabisa wala sijaelewa, kwani Mume (Mwanaume) mwema hapatikani kwa Bwana? au ni versa vesa tu hapa.ambayo imewekwa, kwani hakuna wanaume wema wa kuolewa nao.? Ndo mana nimependa niwashirikishe jambo hili la kiimani tuchambue kidogo. kwani huwa nikisoma vifungu hivi vinanitatiza sana. Nakuwa sielewi kabisa my frendo. HAKUNA MWANAUME MWEMA TOKA KWA MUNGU?
Karibuni mabestito kwa uchambuzi zaidi hapa.
cc: Nicas Mtei, Ruttashobolwa, Erickb52, Mr. Rocky, Arushaone, Mtambuzi, Mamndenyi, lara 1,
stevoh, jouneGwalu, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi, Filipo, Liverpool, Passion Lady, charminglady, Paloma, Mentor, Heaven on earth, everln salt, gfsonwin, Lady doctor, Asprin, Madame B, Lucas, @Rular Swaga, Lyagwa, Ben Saanane, mimisa, na marafiki zangu wote jongeeni
Umesema ukweli mdogo wangu lol ile siredi aliyotoa mkuu flani kiukweli haikua bora amemuanika sana mwenzake mpaka unaona hurumaila naogopa nikionana na nyie mnatangaza na kuchafuana hapa jf kwani kuna mmoja jana ametoa thread ambayo alimsema mwenzie alilyekutana naye hapa ikawa ni soo kweli
Hujalala?Umesema ukweli mdogo wangu lol ile siredi aliyotoa mkuu flani kiukweli haikua bora amemuanika sana mwenzake mpaka unaona huruma
Sio sijala sema hatujala. Nipo zamu ya ucku leo si unajua kazi zetu za ulinzi hizi we acha tuHujalala?