Mume Mwema Anapatikanaje?


ungelinipa kipaumbele nami ningelikupa kipa umbele kukushauri. Kifupi lolote aliloahidia mwanamke au mwananume lipo pande zote mbili kwasababu Aliahidi watakuwa mwili mmoja na Alichokiunganisha mwanadamu kamwe asikitenganishe..............
 

Mamy I'm happy that you read the Bible see this blog Heather Lindsey itakupa inspiration za kupata mumw mwema its very good....we can keep sharing,be blessed.
 

Kwele kwetu kijijini siku za harusi utasikia vigeregere na nyimbo zikisikika hivi: chombo chombo chomboooo chombo hicho chombooo chombo hicho chomboooooo, huo wimbo huimbiwa binti aliyeolewa
 
Yule atakayekuja kukuoa ndiye atakayekuwa mwanaume mwema kwako wewe!!! ANGALIZO: kabla hujatafuta na kupata mume mwema, unatakiwa uanze wewe kuwa mke mwema!!!!
 
Wanaume wema (mume mwema) wote hawana hela............akili kichwani sasa
 
umenielewa kivipi bestito?

Kwamba kutafuta mchumba ni zaidi ya maandiko, lazima upate muda pia wa kuruhusu uhusiano wenu uweze kusomwa na kila moja. Hauji kwa maombi tu au kuonyeshwa tu na bwana.

Swali la kimsingi ni je, wahusika wanapata muda wa kusomana, kutafakari na kuchukua hatua stahiki nkatika kutoa maamuzi?
 
kwangu nashindwa kukujibu ngoja nimwite Bujibuji anisaidie hapa maana yeye ni baba mchungaji
 
Last edited by a moderator:
asante kwa ushauri huu labda niongezee ushauri au neno jingine hapa bestito.
ungelinipa kipaumbele nami ningelikupa kipa umbele kukushauri. Kifupi lolote aliloahidia mwanamke au mwananume lipo pande zote mbili kwasababu Aliahidi watakuwa mwili mmoja na Alichokiunganisha mwanadamu kamwe asikitenganishe..............
 
Hoja nzuri sana kwa zama zetu

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Mungu hajatenga wanawake mkuu, tena kwa anayeisoma vema biblia mwanamke ana mzigo mwepesi mno kuliko mwanamume

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Mke mwema, mbona biblia iko wazi sana? Kwa nini kutumia hekima ya kibinadamu kuliko maandiko?

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…