Mume Mwema Anapatikanaje?

Mume Mwema Anapatikanaje?

wee Kaka Jambazi utafungwa ujue! 2natumika wap viwandani au? Na watumiaji ni akina nani kama siyo nyie akina Kaka? Je unakipimio cha kumpima aliye2mika? Aaah bana wee! Em zama tena uibuke!

Aliyekuoa ka alikukuta bila bikra ujue ulishatumika, ndo mana mkawekewa bikra na pia send off mnafanyiwa ninyi.
 
Habarini bandugu marafiki zangu wote na wasio marafiki pia.

Naingia kwa ujio kama alivyokuja Raisi Obama kimkuku kuku na wakiana kwa leo wapendwa wangu
marafiki zangu ninaingia kiimani zaidi na ni vyema muelewe nilichoamua kukizungumzia hapa na sio
kufakamia bila hata kuelewa topic hii yasemaje: Kabla sijaenda mbele zaidi tazama picha hii hapa:

View attachment 100908 na hii View attachment 100909 hapa tena View attachment 100910 mwisho View attachment 100911

Kila mmoja wetu anajua kua Maandiko matakatifu yanavyosema sana jinsi ya kupata Mke kuliko Mume na maandiko maarufu ni kama-‘’Mithali18:22-‘’Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana’’ na Mithali.31:10-’’Mke mwema( Kiswahili imetumia neno moja tu .’’Mwema’’ lakini Kiingerea ktk Bible mbalimbali imetumia maneno mengi yenye nguvu ya ajabu na kushangaza kujua kumbe Mwanamke mtarajiwa kuwa Mke ni kitu kizuri na cha ajabu sana hasa aliyetoka kwa Bwana. Maneno yaliyotumika ni kama.’’ wife of noble character’’, ‘’capable’’, ‘’intelligent’’ ‘’virtuous woman’’, ‘a competent wife’’, ‘’worthy woman’’), ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani. Tena Biblia ya King James na New King James ndizo zimetumia neno ‘’Virtuous woman’’ ( notice: Ni woman!) na maana ya neno ‘’Virtuous’’ ni ‘’good’’, ‘’moral’’, ‘’ethical’’, ‘’upright’’, ‘’honourable’’, ‘’excellent’’, ‘’pure’’, ‘’worthy’’, ‘’honest’, ‘’righteous’’, ‘’exemplary’’, ‘’squeaky clean’’, ’’blameless’’, ’’praiseworthy’’, ‘’incorruptible’’, ’’high-principled’’), pia Mwanzo.24:1-67.

Katika Agano Jipya, tunakutana na neno kuchumbia au Mchumba wazi wazi ktk Luka.2:5 ingawa hatuambiwi Joseph (yusufu) alimpataje mdada Mary (Maria mama wa Yesu) Kwakua ni ivyo kwamba Bible imeongelea sana kuchumbia au Mchumba wazi wazi ktk Luka.2:5 ingawa hatuambiwi Joseph alimpataje mdada Mary. Kwakuwa ni ivyo kwamba Bible imeongelea sana kupata Mke mwema ambaye anapatikana tu kwa Bwana, mchumba bora je? anayepelekea mke mwema, tunampataje? kwa kizazi chetu cha leo cha DOT .COM ambapo hatuchanguliwi Wachumba/Wake zetu na wapendwa marafiki zetu, Viongozi wa Kanisa. Maparoko au Wazazi kama zamani, tunafanyaje kuwa salama?

Tutafanyaje kumpata mchumba mwema (mume) kwa kizazi hichi jamani na je kwanini haya maneno hayakuandikwa kwenye Bible? kwani sisi madada tunachanganyikiwa nami pia yameniconfuse mwenzenu kabisa wala sijaelewa, kwani Mume (Mwanaume) mwema hapatikani kwa Bwana? au ni versa vesa tu hapa.ambayo imewekwa, kwani hakuna wanaume wema wa kuolewa nao.? Ndo mana nimependa niwashirikishe jambo hili la kiimani tuchambue kidogo. kwani huwa nikisoma vifungu hivi vinanitatiza sana. Nakuwa sielewi kabisa my frendo. HAKUNA MWANAUME MWEMA TOKA KWA MUNGU?
Karibuni mabestito kwa uchambuzi zaidi hapa.

cc: Nicas Mtei, Ruttashobolwa, Erickb52, Mr. Rocky, Arushaone, Mtambuzi, Mamndenyi, lara 1,
stevoh, jouneGwalu, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi, Filipo, Liverpool, Passion Lady, charminglady, Paloma, Mentor, Heaven on earth, everln salt, gfsonwin, Lady doctor, Asprin, Madame B, Lucas, @Rular Swaga, Lyagwa, Ben Saanane, mimisa, na marafiki zangu wote jongeeni

Unfortunately, I am NEITHER inclusive in the CCed list, NOR your rafiki. Hence, ngoja tuwaachie walengwa. Otherwise I just aknolewdge seeing of the topic.
 
Jaribu kwenda disco club unaweza ukampata huko labda
 
Last edited by a moderator:
Mumemwema ? ? Wanawake wema hakuna sikuhizi ni kugegeda na kusepa tuu
 
Best naona ujaelewa vyema somo hapo juu, nilikuwa najaribu kuesema kuwa kwanini vitabu vingi vya kidini vinazungumzia KUMPATA MKE MWEMA NA SIO MUME MWEMA, yani nimejaribu kusoma kila aina ya vitabu vya dini sijaona sehemu pameandikwa MUME MWEMA, ina maana wanaume hawana sehemu yao katika vifungu, nidadavulie vyema best?
Fanya maombi,tena kama ni yakufunga itakuwa bora halaf uwe na imani hasa kwa yule unayedhani unampenda,Mungu atakujibu ama kwa ndoto,maono na hata uhalisia,kisha muahidi Mungu kwamba "unipe mume wa namna .....ukinipa nitatoa.... "halaf changanya na sadaka.
 
sijakuacha beibe ila ni vituko vyako tu vinavyosababisha kukosa raha jaribu kuondokana navyo itakuwa vyema,

naomba nidadavulie hilo soomo hapo juu nimesoma sana vitabu vya imani ivinavyoelezea kuhusu mambo ya ndoa hasa kumpata yule aliye mwema kila kifungu kwenye mithali inasema KUMPATA MKE MWEMA, AU NANI AWEZAJE KUWA NA MKE MWEMA NA SIO MUME MWEMA sasa mm nimekofyuzika hapo ina maana hakuna kifungu kinachoelezea mume mwema? sasa siisi tuombeje?
Ndiye mimi sema ukaniacha!!!
 
yaani hapo sasa umenena mwana nashukuru kwa kunimaanishisha na kunielewesha ila bado hujaingia sana katika vifungu vya neno la Mungu kwanini hakuna kifungu ambacho kinaelezea KUMPATA MUME MWEMA vingi vinasema kumpata mke mwema why? nidadavulie kidogo best
Just to quote few;
ladyfurahia kwa asili ilikua wanaume (mume mwenyewe, baba wa mume au baba wa mke) ndio wakitafuta wake wa kuoa. Kwa sasa labda tuseme wote wake kwa waume wanatafutana! Hakuna shida yeyote katika maandishi, kwa vile hizo tabia haziko "explicit" bado nguvu ya Mungu iko pale pale.. Unatakiwa umuombe Mungu akuonyeshe mume wa kweli mwenye sifa unazozitaka wewe, au Yeye Mungu amlete kwako mwanaume mwenye sifa hizo tu si mwenginewe.. very simple..!!
 
asante sana rafiki umenielewesha vyema nashukuru sana kwani mm vifungu hivyo vilikuwa vinanitatiza sana siku nyingi na nilikuwa sielewi ndo mana nikaomba nidadavuliwe hapa shukrani bestito
Mi nahisi maandiko yametutenga wanawake mana wanaume tu ndo wameelekezwa kwe2 ila sisi twapataje waume wema haijasema ! Ila kwa akili zangu mi nahisi maandiko yameona jinsi gani wanawake 2livyo MUHIMU sana katika jamii,kanisani,shuleni,nyumbani na kwengineko that y wanaume wameelekezwa kuchagua MKE MWEMA ili asikosee kujenga ama kuendeleza FAMILIA iliyonjema mana mwanaume anapoteleza tuu! Ndo hayo unaskia mara mwanamke kaomba talaka,mara mke haelewani na mama mkwe,mala kafumaniwa full vurugu! All in all mamaa Lady MUME WAKUFANANA NAWE anapatikana kulingana na INTEREST ZAKO,TABIA ZAKO, + MAOMBI YA KUKUTANISHWA NA HUYO MUMEO MTARAJIWA baasi! Ni hayo tu my dia!
 
Swali lako ni gumu na "complex" kidogo kwa sababu kwa maoni yangu lina-cover sio tu psychology lakini hata spiritual matters.Majibu yangu ntayagawa katika maeneo ya kiroho na ya kisaikologia kama ifuatavyo:
1;SIFA UNAZO?:Ili kumpata mume/mchumba mwema....jiulize "wewe ni mwema?' na unadhani mume mwema ana vigezo gani?wewe unavyo?Kwa sababu utaidanganya nafsi yako bure kama umeweka viwango ambavyo hata wewe huna!Kumbuka ndege waliofanana huruka pamoja.
2;UMRI:Mwanaume kijana mwenye umri kati ya miaka 32-35 mpaka 40 ni mwenye uzoefu na mambo mengi na anaweza kuhimili misukosuko ya ndoa na maisha.Kwa lugha nyingine huu ni umri ambao mwanaume anajua vipaumbele vyake na nini anatakiwa afanye na ni kwa wakati gani!Huu ni wakati ambao hata kama alikuwa ni mwenda disco sana basi anweza kupunguza na kuacha kabisa na kuwa tayari katika maisha ya ndoa...tofauti kabisa na kijana wa miaka 25,28 nk.
3;ELIMU:Dunia imebadilika na ina changamoto nyingi sana.Ni muhimu kwa mume unayemtaka awe na elimu angalau ya advance diploma/bachelor degree.Hili litasaidia sii katika changamoto za kifedha hata katika malezi ya watoto na mahusiano yenu.Lakini elimu pia inasaidia hata uelewa wa mambo complex kama ya kiimani na kupunguza uhafidhina(unoko usio wa lazima).
4;NGUVU YA MAOMBI:Prayers are very powerful tools.Funga na kusali kwa imani utafanikiwa tu.Biblia ilishasema "Mke mwema hutoka kwa bwana"LIKEWISE mume mwema hutoka huko huko kwa bwana.Sio rahisi kuanza kumtafuta tu mume/mke mwema...na ukampata ni vizuri kumtanguliza Mungu ktk hili.
 
sijakuacha beibe ila ni vituko vyako tu vinavyosababisha kukosa raha jaribu kuondokana navyo itakuwa vyema,

naomba nidadavulie hilo soomo hapo juu nimesoma sana vitabu vya imani ivinavyoelezea kuhusu mambo ya ndoa hasa kumpata yule aliye mwema kila kifungu kwenye mithali inasema KUMPATA MKE MWEMA, AU NANI AWEZAJE KUWA NA MKE MWEMA NA SIO MUME MWEMA sasa mm nimekofyuzika hapo ina maana hakuna kifungu kinachoelezea mume mwema? sasa siisi tuombeje?

Hello Kwanza salaam nyingi zikufikieni Members wa hii forum na pia hongera kwa Dada LadyFurahia kwa kuwa na fikra tunduizi ambazo wasichana wengi wamezikosa na kuishia pabaya,HONGERA SANA! Back to the Topic: Kwakuwa wewe ni msomaji sana wa maandiko matakatifu ya kiimani basi sina budi kuamini kuwa unamwamini Mungu kwa uzuri. Kwa mpango wa Mungu na kwa "asili" Mwanaume kwa maamuzi yake ndiye mwenye jukumu la kutafuta mke wa kuishi naye kwa kuwa yeye ndiye KICHWA NA MTAWALA WA MWANAMKE KATIKA SIKU ZAKE ZOTE ZA UBATILI! Na kumbuka mambo yamekuwa yakienda vyema sana pale mwanamke anapokubali cheo chake cha kuchaguliwa na mwanaume na yeye akaridhika na kumtii mwanaume aliyemchagua. Chunguza vizuri dada utagundua ndoa zote za kabla ya kuwapo na huu UPUUZI wa haki sawa kwa jinsia zote uliohalalishwa huko beijing, ni imara na hazitetereki kwa kiasi kikubwa, tofauti na ndoa zile zilizotokea baada ya Mkutano wa Beijing.Hii ni kwa sababu mkutano ule wa KIPAGANI ulivunja kanuni asilia zinazoongoza utulivu na ustawi wa Wanadamu na kuasi kwa makusudi makusudi na maagizo ya Mungu kwa wanadamu. Mkutano huu ulihalalisha mwanamke kumtongoza mwanaume na kumtakia wazi "Nakupenda" ilhali ki asili hii si sawa!! Kiasili Mwanaume ndiye anayepaswa kumpenda Mwanamke na Mwamke anapaswa kumtii Mumewe au kuridhika na upendo ule aliopendwa nao na Mumewe! Chunguza ndoa ambazo mke ndiye aliyempenda mumewe na kuwa wa kwanza kumuomba uhusiano uone zinakuwaje muda mfupi baadae! Kwa kuhitimisha basi ni Maoni yangu kwako kuwa, kwanza acha ASILI itawale mahusiano ya kindoa na kisha MRIDHIE MWANAUME ALIYEKUPENDA YEYE ( Na sio uliyempenda wewe au unayemlazimisha akupende) Hapo utakuwa UMEMPATA MUME MWEMA KABISA.Kinyume chake ni kudinywa na kuachwa ukifuta machozi yasiyo na faida.C U!
 
Nimeipendaje hii comment yako kweli imenifanya nijue kuwa kuwa kunawatu wanaowatakia wenzao yaliyo mema sana nimefurahishwa sana na mawazo yako mazuri uliyonipa hapa , na vilevile umenielewesha vyema na nami nimekuelewa sana yaani sina cha kuongea hapa asante sana NA Mungu akubariki
Hello Kwanza salaam nyingi zikufikieni Members wa hii forum na pia hongera kwa Dada LadyFurahia kwa kuwa na fikra tunduizi ambazo wasichana wengi wamezikosa na kuishia pabaya,HONGERA SANA! Back to the Topic: Kwakuwa wewe ni msomaji sana wa maandiko matakatifu ya kiimani basi sina budi kuamini kuwa unamwamini Mungu kwa uzuri. Kwa mpango wa Mungu na kwa "asili" Mwanaume kwa maamuzi yake ndiye mwenye jukumu la kutafuta mke wa kuishi naye kwa kuwa yeye ndiye KICHWA NA MTAWALA WA MWANAMKE KATIKA SIKU ZAKE ZOTE ZA UBATILI! Na kumbuka mambo yamekuwa yakienda vyema sana pale mwanamke anapokubali cheo chake cha kuchaguliwa na mwanaume na yeye akaridhika na kumtii mwanaume aliyemchagua. Chunguza vizuri dada utagundua ndoa zote za kabla ya kuwapo na huu UPUUZI wa haki sawa kwa jinsia zote uliohalalishwa huko beijing, ni imara na hazitetereki kwa kiasi kikubwa, tofauti na ndoa zile zilizotokea baada ya Mkutano wa Beijing.Hii ni kwa sababu mkutano ule wa KIPAGANI ulivunja kanuni asilia zinazoongoza utulivu na ustawi wa Wanadamu na kuasi kwa makusudi makusudi na maagizo ya Mungu kwa wanadamu. Mkutano huu ulihalalisha mwanamke kumtongoza mwanaume na kumtakia wazi "Nakupenda" ilhali ki asili hii si sawa!! Kiasili Mwanaume ndiye anayepaswa kumpenda Mwanamke na Mwamke anapaswa kumtii Mumewe au kuridhika na upendo ule aliopendwa nao na Mumewe! Chunguza ndoa ambazo mke ndiye aliyempenda mumewe na kuwa wa kwanza kumuomba uhusiano uone zinakuwaje muda mfupi baadae! Kwa kuhitimisha basi ni Maoni yangu kwako kuwa, kwanza acha ASILI itawale mahusiano ya kindoa na kisha MRIDHIE MWANAUME ALIYEKUPENDA YEYE ( Na sio uliyempenda wewe au unayemlazimisha akupende) Hapo utakuwa UMEMPATA MUME MWEMA KABISA.Kinyume chake ni kudinywa na kuachwa ukifuta machozi yasiyo na faida.C U!
 
huwezi kumpata mwanaume aliekamilika kila idara, ukimpata njoo nkupunguzie robo ya utajiri wangu
 
ukitaka mume mwema acha kufanya uchumba wa surprise, mi nilichumbia mke wangu au niseme tulikua marafiki kwa zaidi ya miaka saba, we enjoy it now ( sisemi kuwa hakuna ups and downs zipo)
 
Back
Top Bottom