Mume Mwema Anapatikanaje?

yani umenigusa sana na umenielimisha zaidi ya vile nililvyokuwa nafahamu asante sana kwa koment yako ubarikiwe sana tena sana na uzidishiwe wingi wa siku

Asante mpendwa because we are here at JF for edifying each other!
 
jamani tena kweli hivi mume mwema unakutana nae wapi wakti wengi ni mapritenda
 
Waislaam hatuna shida kwenye hilo:

Kwa mali zao
kwa uzuri wao
kwa nasaba zao
kwa dini zao

You can never go wrong ukizingatia hivyo vigezo vya Waislaam.
 
ila naogopa nikionana na nyie mnatangaza na kuchafuana hapa jf kwani kuna mmoja jana ametoa thread ambayo alimsema mwenzie alilyekutana naye hapa ikawa ni soo kweli
ladyfurahia , I wish ningekuwa nakufahamu ila tatizo la JF ndio hili tunajadili nyuma ya kioo
 
Tutapiga sarakasi zote na kubinuka mpaka tuvunje viuno, utasoma vitabu vyote na kupata ushauri wa kila namna but at the end of the day you'll get married to a monster you never expected.
 
ila naogopa nikionana na nyie mnatangaza na kuchafuana hapa jf kwani kuna mmoja jana ametoa thread ambayo alimsema mwenzie alilyekutana naye hapa ikawa ni soo kweli
Dada ladyfurahia, tatizo sio kukutana, tatizo ni dhumuni la kukutana ndio ishu, maanawengi wanakutana kwa mitazamo ya kimapenzi ila sio dhumuni jingine, tubadilike maisha sio mapenzi tu, maana unaweza ukawa msaada kwangu zaidi ya mpenzi, ok ila siwezi jua dhumuni la baadhi ya watu kuwemo humu, maana kunawatu humu hata wazo la kutongoza mtu walahalipo kabisa na kama ni pm ni za kawaida kabisa au sijui kuangalia avatar ya mtu. Pia ishu ya kukutana huwezi jua kila siku unakutana na watu wa JF wangapi au wengine unaishi nao nyumba moja sema tu humu tunatumia ID za uongo ila tukisema tuweke majina ya ukweli unaweza shangaa kuwa wakati mwingine unamjb hovyo kaka yako kabisa
 
kama kukutana tu usijali na kama uko dar njoo leo pale tupo hapa pub kwa akina Mtambuzi utanipata hapo jioni saa 12:00 jioni nitakuwepo wakaribishwa bestito
 
Last edited by a moderator:
kama kukutana tu usijali na kama uko dar njoo leo pale tupo hapa pub kwa akina Mtambuzi utanipata hapo jioni saa 12:00 jioni nitakuwepo wakaribishwa bestito
Lol hii ni nafasi adimu sana, ngoja nijipige pamba za kutosha na unyunyu maana usije kunipiga dongo bure humu ndani mie sitaki kabisa, ngoja nikunong'oneza hapo ni karibu na kituo cha daladala? Mpesa, Tigo pesa, Zap zipo hapo? au bank jirani na hapo? maana kwenye pamba nimevunja kabati kabisa
 
Wanaume wema wapo wengi sana ila ni bidhaa adimu kama walivyo wanawake wema.
 
ila naogopa nikionana na nyie mnatangaza na kuchafuana hapa jf kwani kuna mmoja jana ametoa thread ambayo alimsema mwenzie alilyekutana naye hapa ikawa ni soo kweli
Umesema ukweli mdogo wangu lol ile siredi aliyotoa mkuu flani kiukweli haikua bora amemuanika sana mwenzake mpaka unaona huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…