TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,956
- 21,983
Mimi nina mke tayari, nataka awe specific, sio apate bwana mwenye kipato cha 1.5 mil kwa mwezi, aingie naye kwenye ndoa, halafu akiwa ndani ya ndoa aanze kumsumbua mumewe, mbona wewe huingizi milion 5 kwa mwezi kama mume wa jiraniMkuu wa Matajiri unahoji kipato unakua kama sisi wavimba macho tena..
Kama wapambanaji watafutane wenye lengo moja wakiweka kipato siku mmoja akiwa na pungufu au hana kabisa ndoa inavunjika tena kumbe life ni uvumilivu aisee bila kuvumiliana kila siku watakua wanakuja na matangazo ya mtu mwingine mwenye per diem kubwa..Mimi nina mke tayari, nataka awe specific, sio apate bwana mwenye kipato cha 1.5 mil kwa mwezi, aingie naye kwenye ndoa, halafu akiwa ndani ya ndoa aanze kumsumbua mumewe, mbona wewe huingizi milion 5 kwa mwezi kama mume wa jirani
Kipato kinachoeleweka ndio shilingi ngapi kwa mwezi?
Mwanaume aliye serious hawezi kuwa na single mother.
Kama ungekuwa serious usingeachwa single mother.
Mimi na wewe hadi kielewekeHivi una watoto wangapi uongezee na wa mleta uzi muanzishe familia..!!
Wewe mbona hujaweka level yako ya elimu?
Mimi huo muda mfupi ndio nautaka karibu pm
Una chura?
Huyo mtoto baba yake yupo hai?
Mawasiliano
Eeeeeh π± Natafuta AjiraKuanzi 2m sio mbaya
Dah ila wanaume wa humu siku hizi mna midomoHuoni hapo kaandika ana mtoto mmoja? Kataa masingle maza wakaolewe na waliowazalisha
Una tako linalochomoza kwenye gauni au lazima uvae jeans?Mimi sifugi wanyama
Wewe utajua mwenyewe hahahahaDah ila wanaume wa humu siku hizi mna midomo
Acha watu wapate mke jamani baridi sio poaWewe utajua mwenyewe hahahaha
Natafuta sioniHuoni hapo kaandika ana mtoto mmoja? Kataa masingle maza wakaolewe na waliowazalisha
Ila single maza nyie π π πNatafuta sioni