Mume mchumba anatafutwa


Karibu sana ila kilimo mmh, labda unifundishe kwanza, watoto wawili sio shida ili mradi kipato kitosheleze
 
Maswali kama haya anayaruka ,kwasisi tulisoma saikoloji baba mtoto yupo na anawasiliana naye kama kawaida ila wamepishana kidogo ,mambo yakikaa sawa huko mbele mchumba anayefutwa either atamwagwa au atamixxiwa By Yas.

Una uhuru wa kufikiri kadri ya experience yako na ukubwa wa akili yako
 
Usinambie unataka kujiweka chap 😹😹

Nilitaka aweke level yako ili nimuunganishe na ex wangu anakidhi vigezo vyote anavyotaka..!!
Nataka niwe mchumba wake wa muda mfupi wakati anatafuta mume, na uzoefu mkubwa wa kuusindikiza wadada kwenye ndoa zao.
 
Sifa zote ninazo kweny elimu nimekosa sifa
 
Yupo serious sana jamn..
Mnamo siku ya jana majira ya saa 3 alifungua account ya jF na kutuma ombilake papo kwa hapo

Kila la kheri mungu atakupa unacho stahili
 
Ningekuwahi ila ujana ule na wajanja uzeeni ule na wajinga me nakimbia
 
Nakupenda sana baby.
 
Kwanini kwanza huyo alikuzalisha asikuoe kama ulikuwa wife material kweli?
 
Huyu atanifaaa kabisa. Njoo pm tuenjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…