Mume kumtia lovebite mkewe

Mkuu hukusikia vizuri hamna mwanaume anaweza mng'ata mwanamke labda awe vampire.

Hizo story walizokuwa wanapiga itakuwa hiyo pisi ni white sana so kuna alama zimebaki baki.

Maana kuna pisi nyeupe hata ukiigusa kidogo anabaki na alama kama nyekundu ila huwa zinapotea baada ya muda.

Pisi kama hizi zinahitaji umakini sana kuzinyandua/kuzigegeda ukienda ovyo ovyo unaweza iachia alama alama ambazo kwa wahuni wanajua kabisa hii pisi imetoka kunyanduliwa.
 
Jamani bhana eeh? Hii hatari nimekumbuka wakati unakaribia kuufikia uzungu na maziwa mgando ile heka heka paap nikamtia mtu alama bila kujua..... Ile week natafutwa na skirt nne zinaniambia zinataka hiyo alama.....


Na ilitokea bahati mbaya tu, huwa najiuliza hawa viumbe waliongeaga nini na nyoka maana wanapenda tusivyovidhamiria
 
Kama mumewe wala haitakua kosa pia kwa sie weupe bites haziepukiki
Inakua aibu mwisho unazoea tu unachukulia powa
 
Wewe ni miongoni mwa wale mkuu aliowapondea Jana kuwa ni wabaya kisa rangi
Aisee...Mimi Ni miongoni mwao...Sasa nikawaza iliniwe mchepuko wa Raisi itabidi nipige kitaulo..nshanunua Chemikali hapa..nipe mwezi tu nakuwa mzungu.

Nakwalihi tamko lake Nina Jambo langu tarehe 28.
 
Mie nitaacha kutaka hela kama wewe utaacha kupenda chura
Vile rafiki unatetea kwa bashasha kuwa kuacha kutaka hela ni mpaka mimi niache kupenda chura!
890980.jpg
 
Aisee...Mimi Ni miongoni mwao...Sasa nikawaza iliniwe mchepuko wa Raisi itabidi nipige kitaulo..nshanunua Chemikali hapa..nipe mwezi tu nakuwa mzungu.

Nakwalihi tamko lake Nina Jambo langu tarehe 28.
😂😂😂😂 Achana na hivyo vi kemikali...Ila hapo kwenye 28 ndo penyewe😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom