Mume kuitwa daddy na daddy aitweje?

Mume kuitwa daddy na daddy aitweje?

yote haya ni maneno tu: daddy, mammy, bebii e.t.c na hayanamaana yoyote yakiwa hivyo kabla hujayapa maana. Kila mtu anayapa maana kwa namna anavyotaka kuyatumia ktk "context" fulani. Hvyo hakuna ubaya kuyatumia upendavyo. Hivi ukikutana na mwanaume kwa mara ya kwanza mwenye umri sawa na baba yako na huna uhusiano nae wowote unaweza muita "daddy?"
 
Nop.......n
 
nilimwambia aniite dady akasema tokea lini dady akanivua pichu ...!! nikachoka kabisa mi huwa naitwa baba fulani
 
Inategemea na mlivyojizoesha ila mamy na dady ndio mpango mzima!
 
Wallah sijui kwa nini lakini mimi mumewangu namuita Daddy na babangu pia namuita Daddy sasa kazi nipale wanapokua wote
nyumbani inabidi niite dad wake Meitha ndio wanajua sio my dad,kazi ipo mparaganyo mtupu....
 
Daddy wako angeshangaa sana kama angesikia unamwuta daddy mumeo afu waaitike wote kwa pamoja balaa
 
yani kituko na hata watoto wangu wanamuita babu yao Dad na mamangu Aunty sababu tunamuita hivyo lakini wakiwa wakubwa watawacha........
 
Back
Top Bottom