BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Mie hata sijui banaa lakini hii kitu nimeisikia siku nyingi sasa. Nimewasikia marafiki wa kike ambao wote wamo ndani ya ndoa wakiwazungumzia waume wao kwa kuwaita Daddy. Unajua tena mahusiano ya kileo, wengine hili wanaweza kuliona lina kasoro kubwa na kwa wengine likaonekana halina kasoro yoyote.
Wapendwa nisaidieni hili eti ni sahihi kumuita mpenzi wako au mume wako daddy?
Inamaana gani? angali daddy ni baba yako mzazi au ndo kumkabidhi majukumu ya mzazi wako.
Last edited by a moderator: