natamani kuitwa mama na mpenzi wangu...........!!!
Wapendwa nisaidieni hili eti ni sahihi kumuita mpenzi wako au mume wako daddy?
Inamaana gani? angali daddy ni baba yako mzazi au ndo kumkabidhi majukumu ya mzazi wako.
natamani kuitwa mama na mpenzi wangu...........!!!
me hata mpenzi wangu akiniambia "unafanyaje mamy"...."ndio nakuja mama"..napendagaa
Kumbe tupo wengi... Napenda kuitwa "mama" "mamie" acha kabisa.... Roho husuuzikaaa!!!
ndiyo maana wa kwangu huwa nikimuita mpaka anasisimka eeeeeh?............
na hiyo pia inasababisha hata yeye kukujali kama mtoto aisee me napenda oh Ma God i wish i wish i wish aisee...
yah na yeye atakuwa babu haina shida its nice...katika condition zipi?
kila a.k.a kuja na upepo wake!
je ukizeeka akuite bibi?
ndiyo maana na sisi huwa tunawaita hivyo...........
may your wish come true my dear.................
ndiyo maana na sisi huwa tunawaita hivyo...........
yeah it feels good........
asakuta same unajua sijui nikuelezeeje ila its lovely yani!!!!!!!!!!!!!!
halafu muwe mnafunguka jamaani , siku moja jamaa akiteleza akakuita hivyo unafunguka kwa furaha kumuelezea unavyofeel great kuitwa hivyo............mpewa furaha la moyo jamani.