And that is why you are not a JF Expert member,Ni ukoloni flan hv.
Ndo sabb sku hz wababa wanawala mabinti zao wenyew.
Kama mama yao anakuita baba unaitika na badae unamsalome..
Unantekenyaga ukinyonga.....
Na binti yako itakuaje ngum sasa..[emoji31]
Kisoviet hichoDuh uandishi pls
unaona raaaha kuitwa baba wakati mke wako nimeshamgegeda.Acha uongo wako mkuu. Unaishi mjini au kijijini? Kama ni mjini niambie ni wapi.
Kimsingi mimi naona faraja kuitwa baba na mke wangu kama ilivyo raha mimi kumuita mama. Unajua mapenzi hunogeshwa na heshima ilimradi isiwe fake
DuuuuuhHawaitwagi baba hivi hivi kazi yao imetukuka, weka usharobaro wako kila sekta uone kama utaitwa baba
Duh, mkuu umenidharau sana nadhani, hii haikuwa namna sahihi ya kunijibu. Anyway this is JFunaona raaaha kuitwa baba wakati mke wako nimeshamgegeda.
[emoji124]And that is why you are not a JF Expert member,
Just kiddingIs t realy a reason???
Mkuu JF ina mengi sanaShehe atutaki ugomvi humu [emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji26][emoji26]
Dini inakataza hiyo ya kuitwa mama. Yan anakukaza then anakuita mama.Mie mumewangu ananiita mama nami namwita baba na maisha yanaenda
akuanzaye mmalize.. dharau umezianza weweDuh, mkuu umenidharau sana nadhani, hii haikuwa namna sahihi ya kunijibu. Anyway this is JF
T means Tiffa[emoji47][emoji47]Mimi bado ajasongezwa home maana lazima aka present paper yake ya mwisho kabla ya kupewa SHAHADA YAKE YA UDHAMIRI YA NDOA, ingawa tangu ingawa akiwa anafanya bachelor yake ya U'GIRL FRIEND ananiita baba T. na hatuna mtoto, ingawa my name inaanza na T.