Mume kamkuta mkewe na love bites kwe makalio yake, ushauri unaitajika kulinda ndoa

Jamani wanajamii hii habari ni nzito tusizungumzie kuilinda ndoa hayo mambo yamepitwa na wakati katika dunia hii ya magonjwa mengi, tuzungumzie uhai na usalama mwa alieibiwa. maaana kama mkewe akimletea kaugonjwa atakufa tu sasa je tulinde ndoa au tulinde uhai? Mimi binafsi ningechagua kulinda uhai.Namshauri waende wakapime na amuweke mkewe under probation akimgundua ampige chini.
 
Unajua hii thread inachekesha sana.

Sasa ina maana njemba ilikuwa inamng'ata ng'ata huyo mwanamke kwenye masaburi yake....najaribu kujenga taswira hapa lakini bado picha haiji vizuri.

mkuu inachekesha kama sio mkeo lol
angekuwa mkeo.....ina disturb aisee lol
 
mkuu inachekesha kama sio mkeo lol
angekuwa mkeo.....ina disturb aisee lol

Ni kweli Boss...hiki kituko kisikie kwa wengine tu.

Ila hata wewe hebu jaribu walau kidogo kujenga taswira ya jinsi hizo love bites zilivyopatikana. Why of all places mtu ung'ate masaburi? Lol....

Halafu huyo mwanamke lazima atakuwa light skinned fulani hivi maana kwa kawaida masaburi huwa na rangi nyeusi zaidi kushinda sehemu zingine za mwili. Sasa yeye huyo mwanamke kang'atwa hadi alama zinaonekana waziwazi....kaazi kweli kweli.
 
Ni kweli Boss...hiki kituko kisikie kwa wengine tu.

Ila hata wewe hebu jaribu walau kidogo kujenga taswira ya jinsi hizo love bites zilivyopatikana. Why of all places mtu ung'ate masaburi? Lol....

Halafu huyo mwanamke lazima atakuwa light skinned fulani hivi maana kwa kawaida masaburi huwa na rangi nyeusi zaidi kushinda sehemu zingine za mwili. Sasa yeye huyo mwanamke kang'atwa hadi alama zinaonekana waziwazi....kaazi kweli kweli.

tena yote mawili,sasa mda wa kuweka hizo lovebite
ilikuwaje kama mdada alitoa gesi lol
 
....jamani hizo ndoa,eeh mungu tunusuru!atakuwa jamaa alikuwa uvinza
 
Unajua hii thread inachekesha sana.

Sasa ina maana njemba ilikuwa inamng'ata ng'ata huyo mwanamke kwenye masaburi yake....najaribu kujenga taswira hapa lakini bado picha haiji vizuri.

Nyani Ngabu,
Badala kutoa ushauri mshikaji wetu ili aweze kuishi na wife wake vizuri unacheka.

Hivi vitu tuvisikie kwa wenzetu lakini ni hatari sana wewe unadhani jamaa yupo kwenye hali gani baada ya kuona makalio ya wife wake jamaa kafanya sucking of skin? Na mke ndio unampenda!
 
Hivi "love bites" ndio nini maana yake? na ziinasababishwa na nini? Nimetafsiri kama yanavyosomeka naona hainiletei maana yoyote.
 
kuna kitu wanaume inabidi tujifunze jamani...

wake zetu sio mali zetu kama magari au mbuzi au ngo'mbe....

wao ni binaadamu wenye maamuzi yao hata kama sio mazuri au sahihi....

sasa usiseme umedhalilishwa kwa mkeo kupigwa lovebite za makalio....as if alilazimishwa....

kajidhalilisha mwenyewe.wewe hapo chukua uamuzi tu unao ona unafaaa.....

na hata ukiamua kusamehe..samehe tu,usione ni aibu yako....binadamu wazito....lol
 
kwani tatizo hapa ni lovebites au tatizo ni uaminifu???????/

The Boss!
Kesi ni kubwa sana hiyo, tatizo ni uaminifu lakini kuna kitu kinaitwa wivu umeongezeka zaidi baada ya kuona hizo Lovebites, kuna vitu vingine vinaumiza sana wife wako hata siku moja ujawai ku-sucking makalio yake mpaka ukatoa hizo Lovebites!
Cha kushangaza unamkuta na hizo Lovebites kafanyiwa na mwanaume mwingine, uoni hapo kama tatizo ni kubwa mkuu
 
huyo kamegwa mm ndiyo maana naogopa sna kutangaza nia coz siku hizi wamebakia wezi tuu kwa kweli inauma sana coz hujui jamaa anamega vpi,unakuta jamaa anamueshimu kama mke kumbe jamaa anakula jicho shenz kabsaaaaaaaaaaaaa
 
Wana JF,
Mimi ni mgeni huku MMU uwa napita tu siku moja moja!

Leo nimepata nafasi na mimi kuchangia huku, kuna jamaa yangu tunafanya nae kazi ni mtu wangu wa karibu sana kapatwa na mtihani.

Kaniomba ushauri kuhusu huyo mtihani wake kutoka kwa mke wake, wakati wanajiandaa kwenda kazini asubuhi wakati mke wake anavaa nguo.
Kumuangalia sehema za makalio yake ya mke wake kaona kuna Hickey, kiss mark or love bites, sehemu zote mbili za makalio.
Kumuuliza nini hicho? Mke wake anajibu hamna kitu labda nimekaa kwenye kitu kigumu ndio kimeacha hizo love bites.
Wakuu kwa kweli nikashindwa kutoa ushauri naombeni michango yenu tumsaidie jamaa yangu.
Nawakilisha

"anataka kulinda ndoa;"

...kama anamuamini mkewe, na ayaamini maneno ya mkewe pia...
doubts za nini ilhali kaamka nae jamani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom