Mume kamkuta mkewe na love bites kwe makalio yake, ushauri unaitajika kulinda ndoa

Nyani Ngabu,
Badala kutoa ushauri mshikaji wetu ili aweze kuishi na wife wake vizuri unacheka.

Hivi vitu tuvisikie kwa wenzetu lakini ni hatari sana wewe unadhani jamaa yupo kwenye hali gani baada ya kuona makalio ya wife wake jamaa kafanya sucking of skin? Na mke ndio unampenda!

Python, kuna vitu huwa vinachekesha ingawa havichekeshi.

Sasa hapa hata wewe hebu fikiria....hizo love bites zilipatikanaje? Ina maana mwanamke alilala kifudifudi halafu jamaa akasogeza uso wake kwenye masaburi na kuanza kyang'atang'ata au mwanamke alikuwa on all fours halafu jamaa ndo akasogeza mdomo wake na kuanza kazi?

Kuna maswali mengi sana hapa ya kuuliza. Unajua mtu unapotaka kutoa ushauri mzuri huna budi kuuliza maswali ya msingi...lol.
 
Usikute amekalia kisoda! Visoda vinaachaga alama tata sana!

Haahhaaaa!!! nimependa utetezi wako lakini bado kuna swali la ziada aliviegesha hivyo visoda mwenyewe? maana tumeambiwa alama ziko **** zote!!
 
The Boss!
Kesi ni kubwa sana hiyo, tatizo ni uaminifu lakini kuna kitu kinaitwa wivu umeongezeka zaidi baada ya kuona hizo Lovebites, kuna vitu vingine vinaumiza sana wife wako hata siku moja ujawai ku-sucking makalio yake mpaka ukatoa hizo Lovebites!
Cha kushangaza unamkuta na hizo Lovebites kafanyiwa na mwanaume mwingine, uoni hapo kama tatizo ni kubwa mkuu

mkuu hapo ndipo tunapotofautiana watu....
wivu unakuja kivipi?huoni huo ni ugonjwa wa kutojiamini na kujishtukia?
pengine lovebites zinakuonesha jinsi ulivyo 'mshamba na wa zamani kwenye utundu wa kitandani?'

but je hilo linahalalisha kutoka nje? i mean ni lovebites tu ndo zinamdatisha huyo mdada?

naona umefungua mjdala upya hapa lol
 
Wana JF,
Mimi ni mgeni huku MMU uwa napita tu siku moja moja!

Leo nimepata nafasi na mimi kuchangia huku, kuna jamaa yangu tunafanya nae kazi ni mtu wangu wa karibu sana kapatwa na mtihani.

Kaniomba ushauri kuhusu huyo mtihani wake kutoka kwa mke wake, wakati wanajiandaa kwenda kazini asubuhi wakati mke wake anavaa nguo.
Kumuangalia sehema za makalio yake ya mke wake kaona kuna Hickey, kiss mark or love bites, sehemu zote mbili za makalio.
Kumuuliza nini hicho? Mke wake anajibu hamna kitu labda nimekaa kwenye kitu kigumu ndio kimeacha hizo love bites.
Wakuu kwa kweli nikashindwa kutoa ushauri naombeni michango yenu tumsaidie jamaa yangu.
Nawakilisha
mwambie tambazi tu hilo asihofu
 
huyo kamegwa mm ndiyo maana naogopa sna kutangaza nia coz siku hizi wamebakia wezi tuu kwa kweli inauma sana coz hujui jamaa anamega vpi,unakuta jamaa anamueshimu kama mke kumbe jamaa anakula jicho shenz kabsaaaaaaaaaaaaa

kumheshimu mke ndo kukoje????
hizo lovebites ni kumvunjia heshima?

wazee walisema ukimheshimu sana mkeo,huzai nae....
labda mke anapenda 'kuvunjiwa heshima' na mume kazidi mno kumheshimu??????/
 
Chatu, hizo love bites zina alama za meno? Na hayo masaburi ya huyo mwanamke ni meupe meupe? Manake kwa kawaida masaburi huwa meusi....na kama ni meusi ingekuwa ni ngumu kuziona hizo alama.
 
duh aisee ndoa kibongo ni mzigo,jamaa mwingine nimesoma mahali katoka marekani kuja fumania na kweli kamkuta mkewe analiwa ndogo na jamaa tena kitandani kwake na kitanda walipewa zawadi walipofunga ndoa na mkewe

Huyu anastahili kusaidiwa, wee ukae marekani mke umuache bongo?!! kalagabaho!!! Usisaidiwe kwa nini!!!?? Wanasemaga eti tunatuma mahitaji! wanasahau kuna hitaji la muhimu kuliko yote hawatumagi
 
usicheke wewe! Hii mikasa ukiisikia kwa wenzako unaona inachekesha ila yakikukuta unaweza ukatoa chozi.

Hapana wangu, kucheka haimaaanishi kuwa nachukulia poa tatizo lake, let alone kuwa siwez pata ishu kama hyo.

Let us face it, this is interesting as well as beyong embarasment (kama kweli).

Piga chini, kuanza upya sio ujinga chief.
 
Chatu, hizo love bites zina alama za meno? Na hayo masaburi ya huyo mwanamke ni meupe meupe? Manake kwa kawaida masaburi huwa meusi....na kama ni meusi ingekuwa ni ngumu kuziona hizo alama.

NN
Acha hizo mate, ww unadhan meno n sawa na nyayo za miguu?, ngoma haijichori kama canines bana, n vidotdot na mistar kwenda mbele...lmao! (i miss college life bana na hiz skendo).
 
Chatu, hizo love bites zina alama za meno? Na hayo masaburi ya huyo mwanamke ni meupe meupe? Manake kwa kawaida masaburi huwa meusi....na kama ni meusi ingekuwa ni ngumu kuziona hizo alama.

Nyani Ngabu, nimelezea mwanzo kabisa huyo mwanamke ana rangi ni Half-caste ndio maana zimeonekana sana!
 
Hebu labda na yeye ajaribu kuyang'ata aone kama zitakuwepo tena kesho yake. kama zitakuwepo basi ajue kuna kidume kinamsaidia. haraka apige chini huyo mwanamke.
 
sio ya kucheka,lakini hii story inanichekesha,na baadhi ya comment zinafurahisha.jee ndoa yao ina maelewano mazuri?na kama huyo dada ana cheat atakuja kujua tu,ni bora aendelee kuchunguza,maybe kwa kuwa hawajapata mtoto,huyo dada yupo tafrani,anamtafuta japo wa nje,ili baadae ambambikie jamaa.ukiolewa kwa m.ke unakuwa unapenda upate mtoto
 
yaani sipati paicha baada ya jamaa kunyonya masaburi hakuishia hapo lazima alizama kati kwenye roundabout akanyonya saana kisha akatemea mate ya kutosha kisha akazamisha ukuni tartiibu sana.
E bwana kama unampenda mshkaji wako mwambie atose tu hilo zigo,ama na yeye aanze kulitafuna tigo tu kwafujo spidi kabla tigo yake haijafikia ukubwa wa ndoo
 
Hii dunia haiishi vituko! Mimi namshauri huyo jamaa amsamehe tu mkewe maisha yaendelee. Watu safi sidhani kama wapo kwenye karne hii
 
Mh! Inaumaaaaa Ina maana Jamaa alikuwa anang'ata Namna gani Mpaka akaacha Alama! Dah ila hakuna Dhambi iliyo ngumu kusamehe kama Cheatings
 
Hii dunia haiishi vituko! Mimi namshauri huyo jamaa amsamehe tu mkewe maisha yaendelee. Watu safi sidhani kama wapo kwenye karne hii

Ngumu sana mkuu huo utakuwa ni Msamaha wa Kinafiki
 
Ndoa ni makubaliano ya watu2 ivyo, is a complex structure. sasa mkuu msamehe tu, inawezekana alishagundua kuwa mwanamme si rijali so anataka kuleta heshima ndani. Ila sasa hicho kidume, kinanyonya mpaka makalio, means kanyonya hata keikei? very dangerous indeed.
 
Ajitume watu wanaweka lovebite hadi makalioni, kuna watu wabaya jamani, hasa akijua ni mke wa mtu ndio atafanya mavurugu yote hayo lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom